Nimei-miss avatar yangu!

Nyetk

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
1,648
1,696
Mwanzo kabisa nilikuwa natumia hii

HB's.jpg

Sasa nikagundua kila nachoandika watu wananishambulia na kunitukana bila hata sababu, nakwambia wakawa wanani-embarrass hadi wakanisababishia BAN! Nikafikiriii! Nikagundua hawa hawajaipenda sura yangu wanadhani mi zezeta. Nilivyobadili tu sijashambuliwa wala kutukanwa na mtu tena! Nikasema aaahaaaa!
 
Mwanzo kabisa nilikuwa natumia hii

View attachment 54982

Sasa nikagundua kila nachoandika watu wananishambulia na kunitukana bila hata sababu, nakwambia wakawa wanani-embarrass hadi wakanisababishia BAN! Nikafikiriii! Nikagundua hawa hawajaipenda sura yangu wanadhani mi zezeta. Nilivyobadili tu sijashambuliwa wala kutukanwa na mtu tena! Nikasema aaahaaaa!
Ha ha ha haaa! Pole mkuu! Kweli some people judge a book by its cover. Kuna wajanja wameweka attractive avatars za videmu utaona wanachukiliwa very politely. Kumbe hawajui on the other end wanachati na njemba.
 
Si ndo hapo? Ha ha ha haaaa!
 
Hapana Nyetik! Hiyo avatar naifahamu ina username ya Nduu/Mamaya. Ni wewe?
 
khe!mbona ilikuwa zuri sana,nimependa mwanya wako na uko so natural hujatumia mapouuuuuder

Asante kulthum. Mimi mwenyewe najitambua jinsi nilivyo m-handsome. Sasa sijui wengine walikuwa wananionaje? Labda rangi yangu sijui? Si unajua tena kasumba ya wabongo kupenda rangi ya wazungu?
 
Mkuu,
Kwa haraka-haraka nilidhani umeweka image ya goti !
Baadae nika'recognise ni sura!
Nna imani siku ikitokea unakamuliwa jipu, au unang'olewa jino na hii sura ikaleta image ya wound pain suffering itakua nzuri kupita hapo .
 
Ha ha ha haaaa! Mkuu usinipasue mbavu. Sasa kwetu mimi ndiyo hendisamu. Angalia hapa niko na ndugu zangu.

HB.jpg

Kushoto kwangu ni kaka yangu na kulia kwangu ni ba' mdogo
 
ulivoweka iyo white kala watu chaliiiiiii si unajua tena

Cute we acha tu. mitusi yote kwishiney! Unaambiwa nilikuwa nabarazwa hata na mademu humu JF. Afu wangejua mtaani ninavyopendwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom