Nimei-miss avatar yangu!

Wanafananaje?
Ila huyu mdogo ana smile flani natural, huyo wa juu (hakyanani simjui) anaonekana ana kisirani sana.

Aha ha haaaa! Asante mkuu kwa kuiona hiyo tofauti. Sisi kwetu ni wacheshi sana tofauti na anavyoonekana huyo mwenzetu. Huyo mwingine anaonekana ni "timed bomb", ile ukiligusa vibaya tu linalipuka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom