Nimefuta SMS ya token ya Luku kwa bahati mbaya, nawezaje kusaidika?

Tafadhali kama bado haujaitumia fika nao ofisi za eneo lako kwa hatua zaidi
Nimegundua tayari nimeshauingiza...
1. Je kuna madhara gani ya kulipa kiasi kikibwa? Service charge za kila mwezi je?
2. Kuna uwezekano wowote wa kurudishiwa pesa kidogo ili watoto waendelee kula ugali?
Ahsante
 
Wakuu habarini. Naomba kusaidiwa. nimefuta sms ya token ya Luku kwa mbaya.

Nifanyeje ili kupata umeme wangu? Kwa mwenye kujua msaada tafadhali
Kuna ile code namba ya Malipo na huduma za serikali. Siikumbuki ila anaye jua ataiweka hapa. Ingia pale select luku kama umepoteza token kuna huduma pale unaandika namba ya luku then unaomba roken za muamala wa mwisho.. Done
 
Ohoo kumbe umeme umeshanunua tiyari mkuu. Pole
 
Nimegundua tayari nimeshauingiza...
1. Je kuna madhara gani ya kulipa kiasi kikibwa? Service charge za kila mwezi je?
2. Kuna uwezekano wowote wa kurudishiwa pesa kidogo ili watoto waendelee kula ugali?
Ahsante
Hakuna service charge ilifutwa toka mwaka 2016, hakuna tatizo kununua umeme mwingi
 
Wakuu habarini. Naomba kusaidiwa. nimefuta sms ya token ya Luku kwa mbaya.

Nifanyeje ili kupata umeme wangu? Kwa mwenye kujua msaada tafadhali
Kama uliinunua kwa mtandao wa simu wapigie hiyo mobile operayor watakutumua hiyo sms
 
Kuna ile code namba ya Malipo na huduma za serikali. Siikumbuki ila anaye jua ataiweka hapa. Ingia pale select luku kama umepoteza token kuna huduma pale unaandika namba ya luku then unaomba roken za muamala wa mwisho.. Done
Nilifaulu mkuu. Tigopesa kuna menu pale imetatua tatizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom