Wanaipenda CCMNini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Mbona ni za juu sana?Kama beer zipo na malaya basi hapo ni mjini. Hizo ndio criteria
Chato ni Punda ndio daladala Ndugu yanguMi nlifika shinyanga nikawauliza sehem flan nafikaje wakaniambia kapande daladala zile pale , nikiangalia huko wanaponionyesha daladala sion hata moja hatukuelewana karibu dakika 3 nawauliza tu mbona sion wao wananiambia si hizo hapo
Kumbe daladala kwao ni baiskeli mi nilikua naangalia nikiamini ntaona gari
Gari hata vijijini zipoMbona ni za juu sana?
Mi najua kukiwa na mtu ana gari tu inatosha
Aisee!Mi nlifika shinyanga nikawauliza sehem flan nafikaje wakaniambia kapande daladala zile pale , nikiangalia huko wanaponionyesha daladala sion hata moja hatukuelewana karibu dakika 3 nawauliza tu mbona sion wao wananiambia si hizo hapo
Kumbe daladala kwao ni baiskeli mi nilikua naangalia nikiamini ntaona gari
Same to Mtwara. Nilienda muda kidogo. Sijajua kwa sasaNini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Ondoka kabla haujakutana na Kalunde akakutia kwenye chupa..😜Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Ccm mbere kwa mbereNini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Hata Tabora Urambo ni hivi hiviMi nlifika shinyanga nikawauliza sehem flan nafikaje wakaniambia kapande daladala zile pale , nikiangalia huko wanaponionyesha daladala sion hata moja hatukuelewana karibu dakika 3 nawauliza tu mbona sion wao wananiambia si hizo hapo
Kumbe daladala kwao ni baiskeli mi nilikua naangalia nikiamini ntaona gari