Nimefika safari yangu, wife hajaniuliza hata kama nimefika salama

Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.

Nifanyaje wakubwa?
punguza stress na kuwa na matarajio makubwa/matarajio kwa ujumla, utaishi kwa furaha na kwa miaka mingi
 
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.

Nifanyaje wakubwa?
Kila siku nmechoka kuwaelekeza...waliokuepo kikao wanakumbuka tuliongea nini na nilisemaje kuhusu hili swala la kusafiri huku umeacha umeyakoroga huko kwenye ndoa zenu fika mnajua kabisa nini kitatokea baada ya ww kuondoka umemuacha mkeo akiwa na jazba...
 
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.

Nifanyaje wakubwa?
Tokomea moja kwa moja usirudiiii.........................
 
KAKA KUNA VITU UKISHAKUWA MTOTO WA KIUME UNAPASWA KUJUA NAMNA YA KUVIHANDLE, HIYO NI CHANGAMOTO ILA ONESHA UANAUME WAKO, WEWE NDO KIONGOZI, UKIMTAFUTA SIO TATIZO.
Umesema mtoto wa kiume? Hao ni wengi sana, lakini WANAUME ni wachache siku hizi
 
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.

Nifanyaje wakubwa?
Hata wewe una jukumu la kumfahamisha kama umefika
 
Nashauri mtafute mjulishe kuwa umefika salama safari yako.
Mwenye wajibu wa kutoa taarifa ya mwenendo wa safari ni wewe uliesafiri hata kama hajakuuliza japo mnavyoishi sio kabisa.
Familia wote mkijifanya much know hamuwezi kufika popote,mi huwa nashangaa inakuwaje mtu mnagombana mpaka unasafiri unaacha mgogoro,I wish initokee hata siku moja make hapa kwangu hata lisaa halipi ugonvi umeisha.
 
Ulimwachia hela ya vocha au unalalamika tu ,shemela wetu tumwone msela nnya

Komaa mmekutana mna mpangilio wa meno wote wenye meno 32. JUMLA 64

CHAGUA MOJA,ujichomoe ubaki na meno 32 yako au uendeleze muungano
 
Ho
KAKA KUNA VITU UKISHAKUWA MTOTO WA KIUME UNAPASWA KUJUA NAMNA YA KUVIHANDLE, HIYO NI CHANGAMOTO ILA ONESHA UANAUME WAKO, WEWE NDO KIONGOZI, UKIMTAFUTA SIO TATIZO.
Hongera sana kwa mawazo ya kiutuuzima. Ndivyo tufanyavyo. Wengi hupenda kuomba msamaha ili mengine yaishe. Sasa mdau anafeli hata hili kweli?
Mpigie hatapokea, mpigie atapokea kibabe wewe uwe mdogo tu. Asipopokea mtumie ujumbe tu. Mwishowe hata siku ya pili mtaelewana tu. Wangu miaka 24 sasa tunaendelea kuishi, fresh tu.
 
Back
Top Bottom