Niliwahi kuleta thread juu ya msaada wa ku-sign in kwenye Email, japo sikufanikiwa kupata msaada wakutosha.
Nafuraha kuwajulisha ya kwamba, nimefanikiwa ku-sign in kwenye Email yangu ya Yahoo kwa kutumia computer & simu.
Nimefanikiwa baada ya kuhamishia kwa server walioko India, ndipo nikaweza kuingia kwa kutumia computer, baadaye sana, nikaingia kwa kutumia computer kwa kupitia Facebook, kisha nikafanya settings kadhaa kwenye profile k.m kubadili p'word, securuty qn, kuongeza namba za simu, kufungua sign-in seal mail n.k.
Kisha mambo yakawa sawa kabisaaa...
Wale wote tuliokuwa tunapata changamoto mnaweza kutumia njia iliyotumia.