Tulia tuliamambo ya karata tatu!!
Tangazo lako limekaa kitapeli sana. Yaani wewe uhamishe hela kinyemela bila ya kufuata mfumo kwa kutumia mifumo ya Kampuni ya simu, inawezekanaje?Tulia tulia
Watu kama ninyi mnatakiwa kutolewa jamii forum.Tangazo lako limekaa kitapeli sana. Yaani wewe uhamishe hela kinyemela bila ya kufuata mfumo kwa kutumia mifumo ya Kampuni ya simu, inawezekanaje?
Kama siyo tapeli, maana yake unataka kutuambia ume-Hack mfumo wa Vodacoma jambo ambalo ni kosa la jinai. Hivi usalama wa mtoa fedha unahakikishwa na nani kwa mambo yanayofanyika kinyemela kama hili??
Yakikukuta siku ukiwa na shida nitafute nitakusaidia bure kabisa sihitaji pesa yako.Tangazo lako limekaa kitapeli sana. Yaani wewe uhamishe hela kinyemela bila ya kufuata mfumo kwa kutumia mifumo ya Kampuni ya simu, inawezekanaje?
Kama siyo tapeli, maana yake unataka kutuambia ume-Hack mfumo wa Vodacoma jambo ambalo ni kosa la jinai. Hivi usalama wa mtoa fedha unahakikishwa na nani kwa mambo yanayofanyika kinyemela kama hili??
Kwenye maisha kila jambo linatakiwa lijengwe juu ya mantiki. Inawezekanaje utumie mfumo rasmi kukwepa mfumo rasmi bila kuudukua huo mfumo??Watu kama ninyi mnatakiwa kutolewa jamii forum.
Acha Porojo zako wewe. Hela siyo mchanga kwamba ukitapeliwa unatoka nje unachota mwingine.Yakikukuta siku ukiwa na shida nitafute nitakusaidia bure kabisa sihitaji pesa yako.
You have scam mentality, sorry.Kwenye maisha kila jambo linatakiwa lijengwe juu ya mantiki. Inawezekanaje utumie mfumo rasmi kukwepa mfumo rasmi bila kuudukua huo mfumo??
Ili hela itumwe kwa Mpesa ni lazima iwe kwenye mfumo wa Mpesa. Sasa wewe uliwezaje kuhamisha hela toka Sudan bila ya kutumia mfumo rasmi wa MPESA?
Polee kwa kua na negative mindsetAcha Porojo zako wewe. Hela siyo mchanga kwamba ukitapeliwa unatoka nje unachota mwingine.
Viingereza ndiyo amekataa Albert Chalamila. Iwe ni "Negative Mindset" au "Scam mentality" Tangazo lako limekaa kitapeli sana. Huwezi kutumia mtandao wa VODACOM bila ya kufuata taratibu za VODACOM.Polee kwa kua na negative mindset
Juzi tu hazizidi hata siku 4, umekuja kuuliza namna ya kutuma pesa Bongo toka Sudan, leo unataka kuwa Wakala!Kuna watu watanitafuta siku moja hapa.
Yes, Very easy. So why need a helping hand of a good Samaritan like Meneja Wa Makampuni ?Juzi tu hazizidi hata siku 4, umekuja kuuliza namna ya kutuma pesa Bongo toka Sudan, leo unataka kuwa Wakala!
By the way now days Kutuma pesa toka Nchi moja Mpaka nyingine imekua rahisi....!
Tulia basi inatosha rafiki. Acha lawama rafiki. Kama huhitaji ni vyema ukatulia usije tapeliwa.Viingereza ndiyo amekataa Albert Chalamila. Iwe ni "Negative Mindset" au "Scam mentality" Tangazo lako limekaa kitapeli sana. Huwezi kutumia mtandao wa VODACOM bila ya kufuata taratibu za VODACOM.
Nani kakulaumu? Umeweka tangazo kwenye "Public domain" halafu unataka kuweka masharti kwenye kuchangia mawazo?Tulia basi inatosha rafiki. Acha lawama rafiki. Kama huhitaji ni vyema ukatulia usije tapeliwa.
Hivi huwa unaweza nini?Tulia basi inatosha rafiki. Acha lawama rafiki. Kama huhitaji ni vyema ukatulia usije tapeliwa.
Naitwa Meneja wa Makampuni naweza kusimamia makampuni kama jina langu linavyojieleza. Karibu sana boss.Hivi huwa unaweza nini?