Nimefall kwa bibie humu JF...

Na AshaDii naye hukusuuza - wamekuwa watatu!
Mi' sisemi, kama uko serious utajiharibia, achana na public discussion, ongea na wahusika vis-a'-vis and tete-a'-tete!!
Ushauri wa bure.

Mbona unampa mwenzio ushauri wa hatari? Mwache kwanza aongeze sample size ili iwe rahisi sana kufanya choice!
 
Kuna bibie humu JF.. nimejikuta tu.. nimempenda.. hii ni kutokana na michango yake.. anavyojiamini anapotoa hoja...ana msimamo... na husimamia anachokisema... naomba ushauri... naogopa kumtaja... nahofia endapo atakuja na Negative Response(mtizamo hasi)....

Umeomba ushauri umepewa, hakukuwa na ulazima wa kumtaja; sasa unataja mara Afrodenzi, Rose1980, AshaDii. Unavyofanya ni kama vile unamtajia mpenzi wako kuwa mwanamke fulani nampenda. Kwani kila kitu kilichopo kichwani mwako lazima ukiseme? Unafikri huyo AD, Rose au AshaDii atkuonaje - na ninakwambia kwa mtindo huo kama utaendelea kutaja mara huyu, mara yule humu JF publically ujue utakayempata naye anatafuta taste nyingine tu! Watakuona hujatulia wewe! Mbona mimi ikitokea nimekuwa karibu na mwanamke yeyote ambaye si ndugu au jamaa yangu lazima nitamani kumdo lakini huwa sithubutu hata kufanya attempt kwa sababu nampenda mke wangu. Lkn pia najua nikiomba tu katika wanawake 1,000 atakataa mmoja naye itakuwa ni kwa sababu sijaendelea ku-make follow up!

Uwe serious kidogo, labda kama unatania!
 
Umeniudhi hapo tu, maelezo mengine nimekukubali
 
Mkuu usitoke nduki, jikaze na toa kilicho ndani ya moyo wako kama una kifua. Acha kuingia mitini banaaaa<br />
The truth shall set you free
<br />
<br />
Hahahaaa! Hiyo ngumu banaa... Kwanza huwa nahisi kama wadada hapa ni super mkomao (wakubwa kiumri) Pili, hapa ukijipendekeza unaweza kujikuta unamtokea dadaako wa damu au dume mwenzako!!! Umri ukiruhusu nitajilipua 'mitaani'.
 
Dena Amsi ulitaka nikutaje na wewe... bahati si yako... Niwaomba wani PM.. sasa wewe waingilia nin?

Hiyo bold umechemsha mie nataka kucheza na watoto kwa umri huu??? Na ukinitaja nitafaidika na nini zaidi kuniboa tu.....
 
Umeomba ushauri umepewa, hakukuwa na ulazima wa kumtaja; sasa unataja mara Afrodenzi, Rose1980, AshaDii. Unavyofanya ni kama vile unamtajia mpenzi wako kuwa mwanamke fulani nampenda. Kwani kila kitu kilichopo kichwani mwako lazima ukiseme? Unafikri huyo AD, Rose au AshaDii atkuonaje - na ninakwambia kwa mtindo huo kama utaendelea kutaja mara huyu, mara yule humu JF publically ujue utakayempata naye anatafuta taste nyingine tu! Watakuona hujatulia wewe! Mbona mimi ikitokea nimekuwa karibu na mwanamke yeyote ambaye si ndugu au jamaa yangu lazima nitamani kumdo lakini huwa sithubutu hata kufanya attempt kwa sababu nampenda mke wangu. Lkn pia najua nikiomba tu katika wanawake 1,000 atakataa mmoja naye itakuwa ni kwa sababu sijaendelea ku-make follow up!

Uwe serious kidogo, labda kama unatania!

Aiseeeee!!!

Back
Top Bottom