Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

Pole sana msikivuTz,pole sana,lakini samehe,samehe,samehe,samehe,Mungu akusaidie katika hilo,kuna nguvu kubwa sana katika kusamehe,sisi sote hatujakamilika. Wewe ni wa thamani sana sana mbele za Mungu,don't ask why? Shukuru kwa yote,Mungu akutie nguvu ulishinde hili,na hili nalo litapita...
 
Last edited by a moderator:
Hii stori hivi imeisha kweli…?? Mbona mi sijaelewa…!! Alipiga teke sufulia jikoni kuonyesha hasira,sasa mbona haujatuambia kua umemfumua ubongo huyo jirani yako mlokole au umemfumua marinda…?? Teh teh tehh,bt pole sana,jifunze kusamehe na kusahau,na usipende kuchokonoa tena simu ya mkeo,ili uwe na amani ya moyo wako mkuu.
 
ngoja niachane na watu wanaoleta changamoto hapa

*****************************
alivomaliza kuandaa maji akanifuata akanambia mme wangu maji tayari kaoge....niliwaza hapa nikienda bafuni wataandikiana txt kwamba nimekuja afu nikaharb mambo.
nikamjibu asante nitaoga bdae tuongee kwanza.
nikamwambia vipi upo sawa kabisa tunaweza kuongea akasema ndio..
nikamwambia pita ukae kitandani tuongee mpenzi.
nikachukua simu yake nikamuuliza mbona huna txt humu? wala calls? akajibu nimezifuta tu mpenz sipendi kukaa nazo.
nikamuuliza kwa nn?
akajb basi tu nafuta maana huwa zinawah kujaa....nikamjib hii ni smart phone simu yenyewe tu ni 4GB achilia mbali memory card, sasa inajaa kivipi?
ok tusipoteze muda kwa nn umefuta?
hapo nikamuona anaanza kutetemeka yan kama vile alihisi najua kitu...
nikamwambia taja txt za watu ulizodelete ukificha tunauana inshort ninazo calls zote na txt zote.....
daaaaaah alivotaja jina la jamaa tu sijui nn kiliendelea maana nilijikuta nimfumua mara moja kichwa kavimba gafla uso mzima....kweli alikula heavy hapo yapata saa 8 usiku...Kisha nikamwambia tunakufa wote leo humu ndani....eleza A to z basi akaweka kila kitu wazi pale akaomba msamaha mara 100 mia...
nikaona hapana amka nikamwambia ampigie dereva tax amwambie kuna ugonjwa alete tax.
dereva alivofika ilikuwa kama saa 9 usiku nikamwambia atupeleke dar huo huo usiku kuna mgonjwa yupo mahututi..
tukaingia ndani na wife akajiandaa tukaanza safari ya kwenda dar huo huo usiku....lengo langu nifike pale dar nimkamate jamaa nimvue nguo nimgeuze nimdate mbele ya mke wake na wangu ndo nitapata ahueni ya rohoni....
kwa hiyo safari ikaanza kwenda dar kwenda kumgeuza mme mwenzangu atake asitake au aniue nipumzike mateso yasiyokifani moyoni.....

Yaani wewe huujui ule msemo "wako wengi na kila aina?"
 
Pole sana ndugu yangu kwa yote haya yaliyokukuta.
Ila nachoweza kukushauri ni kwamba huyo mwanamke hakufai..
Kitendo cha kumsamehe kwa kutomdhuru zaidi ya hapo inatosha kabisa lakini si kuendelea kuishi nae..na hiyo itakusababishia wewe kumsahau kirahisi na kusahau maumivu yote yaliyopita ila kwa kuendelea kuishi nae AMINI USIAMINI hutokaa kusahau hayo..
Na kama ameweza kukusaliti na huyo mzee itakuwaje kwa watanashati wa mjini?
Una umri mdogo sana na hivyo una safari ndefu ya kwenda.
POLE SANA.
 
Du pole sana kaka,mm naona endelea tu na mkeo,kosa si kosa bali kurudia kosa,zen unaweza kumuacha ukapata mwngine akawa balaa zaid ya huyo na Ukajuta.sehe tu kaka.
 
Hii stori hivi imeisha kweli…?? Mbona mi sijaelewa…!! Alipiga teke sufulia jikoni kuonyesha hasira,sasa mbona haujatuambia kua umemfumua ubongo huyo jirani yako mlokole au umemfumua marinda…?? Teh teh tehh,bt pole sana,jifunze kusamehe na kusahau,na usipende kuchokonoa tena simu ya mkeo,ili uwe na amani ya moyo wako mkuu.

******************
soma threds zote mkuu mbona sikubakiza sema napo yataka moyo ningeeleza kiila kitu tungemaliza mwezi...nimehilight watu waelewe na pia mm si mwandishi mzir
 
****END******
Nilitumia wiki tatu kumtafuta jamaa bila mafanikio yan hata kazini haendi ..
tulipofika nyumbani mke wangu akala viapo vyoooote hadi vya biblia kwamba hatakaa arudie na kwamba ndo ilikuwa first time na ni pepo tu....

nikiamua kumkubalia yapite kwan alidai bila msamaha yeye atajiua.
ok tunaishi ila moyo wangu umepoa sana,
akifanya kosa dogo tu natamani kumpiga tu
kweli nilimpenda sana ila kwa sasa sihisi ule upendo wa awali.....
kwa watu wazima wa humu mliowah kupitia hali kama hii mlifanyaje?
mnisaidie kijana wenu
je huyu jamaa bado nahisi kumtafuta aniue au nimue
je nitafanyaje japo ni jirani yangu na nasikia wanahama hapa..
je ipo wakat utafika nitasahau kweli?
msaada wenu great thinkers
nipo mbele yenu...

*********************
tuepukane kuona kila kitu ni story asanteni sana.
wana saikolojia pl plz nawaombeni hasa pm
kwan simwamin mtu tena mke au mme
ninatongoza wake za watu japo sipendi
nakonda siku hadi siku
utendaji wa kazi umeshuka sana..

****************
ASANTENI
MKE AU MME WAKO SIMU YAKE INA SIRI NZITO

aisee pole sana kaka
i do believe its true story
kwani wadada wasiku hz tuna tamaa na kila mtu ana namna ya kurespond matukio km hayo
asikwambie mtu kuchapiwa kunauma sana hao wanaokukebehi ngoja yawakute
mi ushauri wangu ni huu:
muache tu kwa kweli maana hofu yangu usijemfanyia jambo baya km unavyosema akikosea watamani kumpiga
jipe likizo ya kutafakari mema yake na mabaya yake
km hujamuoa usimuoe tena
ushauri kwa wadada:
km unahisi huwezi kumiliki m/me mmoja usijiingize kwenye serious relationship utajiumiza bure!
we endelea kumiliki makoloni hata kumi unapga madanga yako bas!!
 
**********************************
asante mkuu alisharudi korogwe na mm nipo dar lakini napata furaha lisaa limoja lisaa la pili ni msononeko

km hvyo mtihani huo
ila uzinzi jamani acha tuu!!!
piga chni huyooo
nachukia usaliti wanawake tumeumbiwa kumiliki mume mmoja sio kugeuzwa geuzwa km samaki
nachukia kweli bas tu
 
*********************
asante mkuu nina moyo mgumu sana ila cha kwanza
mwanangu
cha pili
alidai nisipomsamehe hana njia nyingine tofauti na kifo
tatu isiwe skendo kwa watu
mm ni mwanaume ambae sipendi cga ndani kitoke nje yan nahisi nacho kinaniumiza kifua changu kimebeba mengi....
note
hajui mama
kaka
wala
dada ni
mm tu na huyu mke wangu na hao jamaa.
wala hana cha kujiua mnafki huyooo alijua mkiachana akiulizwa sababu siri itavuja we hujamsoma tu
mtoto..?ngoja agongwe tena tuone mbona kuna watu wanalelewa single parent
 
Ok pole. Hayo ni maisha usiogope.
Ila ujue una vita hapo mtaani.
Wewe na familia ya mgoni wako hamtatazamana vizuri.
Kumbuka ana watoto na majirani pia wapo. Na wote watalaani umalaya wa mkeo.

Ushauri kama utataka. Nyumba kama umejenga au umepanga hama. Hama na huyo mkeo.

Acha nduguzo au weka wapangaji. Yaani hapo hapakufai tena. Watakuja kukuuwa.
 
With due respect, The Boss sijaona manuscript yako thread nzima, give the guy a wise mouth for his fortitude .. .
 
Last edited by a moderator:
Sasa ndugu nisikilize, huyo ndio mwanamke pekee katika ulimwengu huu anaekujua ipasavyo, anajua unavyokuwa wakati amekukorofisha, hutapata mwanamke mwingine wa hivyo, amini usiamini. Huyo sasa ndio mkeo kikweli kweli, katika maisha kuteleza huwa kupo, every one of us deserve a second chance.

Mkeo amejutia alichokifanya, niamini, yameshamkuta na anajua uwezo wako wa ki-intelijensia, atakuwa mke mwema kuliko mwanamke yoyote. Ukithubutu kumuacha basi jua kuna mtu ataoa mwanamke bora kuliko utakae kuja kuoa wewe, maana anajua akikosea nini huwa kinatokea.

Please, just avoid imagination, kuwa ilikuwa hivi au vile, amua kumpenda, ukiamua kusahau mungu atakuongoza utasahau tu. Tafuta shughuli ya ziada ambayo itakula muda wako wa ziada kama mazoezi, kuangalia mpira, jiunge na vikundi kama vya kwaya kanisani, just be busy mpaka muda wa kulala.

Kama inawezekana anza mchakato wa mmoja wenu ahamie kwa mwenzie ili muwe pamoja, just love her, watu wangapi tunakorofishana na tunasamehe na maisha yanaendelea.

Mwisho, mtu pekee looser kwenye maamuzi ya kuvunja ndoa ni mtoto wenu, wewe utapata mke mwingine, mkeo atapata bwana na yule babu yuko na mkewe, mwanao peke yake ndio maisha yatakuwa tofauti, swali hapo amekukosea nini mpaka apate adhabu ilhali nyie wengine maisha yenu yanakwenda bila shida, think beyond the horizon!!!!

Msikivu Tz nakushauri ufuate ushauri huo hapo juu ila:

  1. Nakupa pongezi kwa kujieleza kwa ni hata kama identity haijulikanai yataka moyo. Nakupongezakwa hatua ulizochukua na naamini kwa ajili hasa ya mtoto.

  2. Usidhani nipeke yako wengi yamewakumba nadhani unasoma na unasikia, inauma sana pole. Jipe moyo.

  3. Je kuna mtu mzima unayemuamini ambaye unawezakulia kwenye shoulder yake na kumueleza yaliyokusibu. Watu wazima wanaexperiencenyiingi sana na wanajua kuzihandle wanaweza kukushauri ili uweze kusahau.Inauma lakini sahau na uendelee na maisha. Tena mi nadhani ni vema kwa sasa mkombalimbali hata hivyo fanya hima umtafutie mkeo ili baadae ahamie DSM. You areso young to live apart ( japo muhusika alikuwa jirani) lakini bora mke awe karibukuondoa mjaribu mengine.

  4. Maisha yana majaribu mengi , wengi yamewakutamengi, Sali na umuombe Mungu akuondolee machungu kwani matatizo ya kifamiliayasije haribu upande wa kazi na mahusiano na wengine.

  5. Nyumba mnayoishi ni yenu au mmepanga, kamammepanga na ukaona ulazima unaweza kuhama. Nina mifano mingi, ninamfahamu babammoja alikuwa ulaya mkew wake akazaa na mzungu( si kwa kuwa ni mzungu ni dhambizaidi la hasha lakini mtoto wa kihalf caste inakuwa si siri ya ndani tena). Mmewake alimsamehe na wakapata watoto wengine, achilia mbali wengine naowafahamu.( si kwamba nasupport) lakini walisameheana na maisha yakaendelea na babaalimlea Yule mtoto wa kizungu kwa kutumia ubin wake ( baba). Cha muhimu naaminimke wako amepata fundisho kubwa.

  6. Mwisho: Uamuzi wa mwisho ni wako pokea ushauri ila usikilize moyo unakuambiaje. Kuna wengine wanaweza wakasema ningekuwamimi ningemwacha, yakiwakumba wanaamua vinginevyo. Maamuzi yote unayo wewe.Pole sana, Mungu atakusimamia na utasahau.
 
Back
Top Bottom