Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

********************************
asante Asnam najiulizaga kwamba yule jamaa kachezea nyeti za mke wangu wa ndoa! kwa hiyo anazijua na kuzichafua! plz aliwah pitia pito hili naombeni msaada wenu mlivukaje....help me to step frm here frm ur xperuence

ikiwezekana inabidi mpeane muda kutibu vidonda hasa wewe,jitahidi usionane na mkeo kupunguza machungu kwa sababu sahizi mkionana unaweza kufanya kitu kibaya utakachokijutia maishani.

wenzetu huwa wanaenda picnic kurefresh mind,try your best braza.
 
Last edited by a moderator:
msikivu tz nimejifunza kitu pamoja na yote uliyosema bado hukuwa na hasira ya kuua mtu..maana kama ungekua nayo tusingesema haya sasa wala kuusoma huu uzi. Wewe ni jasiro mno tena mno kwa hilo nimekupa heshima. Pia kama kweli umeamua kumsamehe mkeo basi na iwe msamaha wa kweli. Tatu achana na habari za kutongoza wake za watu maana moja kuna maradhi pili haifuti kilichotokea bali nadhani itakua inakuongezea machungu tu maana utakumbuka kwa nini unafanya hivi tofauti na mwanzo. Pia nawe waweza kutwa na hao wake za watu matatizo yakazidi mara mbili. Pia haikuongezei heshima bali unapoteza rasilimali pesa na nguvu kazi. With time everything will be alright. Time heals... Jipeni muda wa kutosha mno na usipende kukaa pekeako muda mrefu ama bila shughuli. Natumai kwa haya machache nimeeleweka. Nalog off kama Washawasha

*******************************:::*:**
salute@washawasha hope umenipa mwanga fulani na kunifumbua kitu hapi ...
kweli kaka nakacha kazi kwenda kumsubilia mwanamke hoteli
napoteza muda..
natenga hela kulipia hotel let say mfano nulitumia 30000 kulipia room
elf 20,000 chakula
nikampa 30,000 kama asante
nikambeba kwenye gari langu na kuunguZa mafuta kumludisha
kweli hela zinaenda..
thnx again mkuu
 
Last edited by a moderator:
********************************
asante Asnam najiulizaga kwamba yule jamaa kachezea nyeti za mke wangu wa ndoa! kwa hiyo anazijua na kuzichafua! plz aliwah pitia pito hili naombeni msaada wenu mlivukaje....help me to step frm here frm ur xperuence

Ilo tukio tangia litokee lina mda gani? Mkeo yupo tanga au unakaa nae dsm?
 
Last edited by a moderator:
Oooooooh!! maskini pole sana.Hapa panatakiwa wana saikolojia hasa.Na viongozi wa dini wanatakiwa hapa kumweka sawa kijana.Mm msaada wangu ni kumwombea tu kwa mungu ampunguzie msongo wa mawazo.Eti baba msikivu ww ni dini gani??Binafsi imenigusa sana.Wacha nijaribu Pm mana sijawahi itumia daaaaah aiseee inauma sana.Mungu akupe amani ya moyo baba.

******************
amina mkuu mm ni mkristo kidini.
bora ww unajua mwenye hitaj ukamsaidia kuliko wanaosema nimtafute shigongo..
 
Kabla sijashauri kuna kitu sijajua, wife amejua njia uliyotumia kumfuatilia

*************************
mkuu alijua tu hakuwa na sababu ya kuuliza ilihali anajuaga mi ni mtundu sana kucheza na application...
sema hakuamin kama inaweza kuwepo ya aina hii kama wengi ambavyo hawaamini..
nikamsomea txt zote na zingine alishazisahau kwan alikuwa anafuta txt
 
before reaching that stage try to engage your parents to know the situation,and make her believe everything is fine,punguza mawasiliano kadri muda unavyoenda atazoea tu,hizo mbwembwe za kujiua ni sahizi bado ishu iko hot
ni kweli mkuu, za kujiuwa ni mbwembwe tu aonewe huruma!
 
before reaching that stage try to engage your parents to know the situation,and make her believe everything is fine,punguza mawasiliano kadri muda unavyoenda atazoea tu,hizo mbwembwe za kujiua ni sahizi bado ishu iko hot

i assure u Asnam hili ukilifikisha kwa wazaZ no mjadala ni divorce
wataanza kudai may be hata mtoto si wangu!
 
Last edited by a moderator:
************
am ready to divorce bt am not ready to lead a divorced one into suicide comitmemmt

MKUU
pole sana kwa kweli ingawa mimi sijaoa nadhani muono wangu wa jambo hili unaweza ukawa finyu sana kuliko ambao wapo ndani ya ndoa, lakini naomba nitumie busara za mkia wa mbuzi kufagia pale unapofikia.
1.kwanza nakupongeza kuwa wewe ni mtu jasiri kwa kuwa hai mpaka leo,lakini zaidi haujatenda kosa lolote la mauaji mwa watuhumiwa.

2.pili nimegundua kuwa wewe ni mtu mwenye huruma sana,kwani bila shaka sehemu kubwa ya uamuzi uliochukua uliakisiwa na mapenzi yako kwa mtoto wenu, nafikiri hiyo busara itakuwa dira njema huko mbeleni.
3.Suala la kusamehe huwa ni rahisi sana! Lakini shinda ni kusahau ilo kovu. Na hiyo ndio shida kubwa ( rejea wimbo wa Mzee Kalala," nimekusamehe lakini sitakusahau") hivyo kwenye kusahau hapo naomba ujipe moyo mkuu na kuzungumza na Mungu kwa kina.

Ni hayo tu mkuu ,nakukumbusha kupunguza chuki,kama alivyowahi kutuasa nguli wa mashairi na busara za mapenzi Marehemu Shaban Robert, kuwa
" chuki ni nyamafu,
Na inavundo la harufu,
Na madhara maradufu,
Kuwa nayo haipendezi"

Pole sana
 
i assure u Asnam hili ukilifikisha kwa wazaZ no mjadala ni divorce
wataanza kudai may be hata mtoto si wangu!

Mheshimiwa sali sana,msamehe mkeo muishi kwa amani kama wanaume wanachepuka tunawasamehe vivyo hivyo huna budi kumsamehe mwenzat wako.Life is too short to let things destroy your happiness,we only live once
 
Last edited by a moderator:
Ukianzisha duka amini utapata wateja wengi. Mimi natafuta mbili moja yangu na nyengine my wife wangu ili sote tuaminiane!

Sasa hutakiwi kumwambia, vinginevyo atatafuta laini nyingine na kisha atanunua simu yenye kitochi. Sijui wanipata. Weka kimya kimya, asijue!
 
Back
Top Bottom