Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

****END******
Nilitumia wiki tatu kumtafuta jamaa bila mafanikio yan hata kazini haendi ..
tulipofika nyumbani mke wangu akala viapo vyoooote hadi vya biblia kwamba hatakaa arudie na kwamba ndo ilikuwa first time na ni pepo tu....

nikiamua kumkubalia yapite kwan alidai bila msamaha yeye atajiua.
ok tunaishi ila moyo wangu umepoa sana,
akifanya kosa dogo tu natamani kumpiga tu
kweli nilimpenda sana ila kwa sasa sihisi ule upendo wa awali.....
kwa watu wazima wa humu mliowah kupitia hali kama hii mlifanyaje?
mnisaidie kijana wenu
je huyu jamaa bado nahisi kumtafuta aniue au nimue
je nitafanyaje japo ni jirani yangu na nasikia wanahama hapa..
je ipo wakat utafika nitasahau kweli?
msaada wenu great thinkers
nipo mbele yenu...

*********************
tuepukane kuona kila kitu ni story asanteni sana.
wana saikolojia pl plz nawaombeni hasa pm
kwan simwamin mtu tena mke au mme
ninatongoza wake za watu japo sipendi
nakonda siku hadi siku
utendaji wa kazi umeshuka sana..

****************
ASANTENI
MKE AU MME WAKO SIMU YAKE INA SIRI NZITO

U have many thing to live with kaka trust me
U deserve better
Kama umeamua kumsamehe msamehe kimoja usiishi kwa.kinyingo hutapata amani
 
Pole sana!
Duuu watu wana tofautiana na nimekushangaa wewe kutoa msamaha kwa huyo mkeo!

Ulitakiwa kumuacha au kufanya separation na hiyo kujiua ni uongo ungemuacha!

Hongera sana una moyo wa pekee!

*********************
asante mkuu nina moyo mgumu sana ila cha kwanza
mwanangu
cha pili
alidai nisipomsamehe hana njia nyingine tofauti na kifo
tatu isiwe skendo kwa watu
mm ni mwanaume ambae sipendi cga ndani kitoke nje yan nahisi nacho kinaniumiza kifua changu kimebeba mengi....
note
hajui mama
kaka
wala
dada ni
mm tu na huyu mke wangu na hao jamaa.
 
hapo hakuna ndoa tena baina yenu,believe me,,,hadi umelileta hapa bado linaumiza kichwa my frend
 
msikivu tz nimejifunza kitu pamoja na yote uliyosema bado hukuwa na hasira ya kuua mtu..maana kama ungekua nayo tusingesema haya sasa wala kuusoma huu uzi. Wewe ni jasiro mno tena mno kwa hilo nimekupa heshima. Pia kama kweli umeamua kumsamehe mkeo basi na iwe msamaha wa kweli. Tatu achana na habari za kutongoza wake za watu maana moja kuna maradhi pili haifuti kilichotokea bali nadhani itakua inakuongezea machungu tu maana utakumbuka kwa nini unafanya hivi tofauti na mwanzo. Pia nawe waweza kutwa na hao wake za watu matatizo yakazidi mara mbili. Pia haikuongezei heshima bali unapoteza rasilimali pesa na nguvu kazi. With time everything will be alright. Time heals... Jipeni muda wa kutosha mno na usipende kukaa pekeako muda mrefu ama bila shughuli. Natumai kwa haya machache nimeeleweka. Nalog off kama Washawasha
 
Last edited by a moderator:
*********************
asante mkuu nina moyo mgumu sana ila cha kwanza
mwanangu
cha pili
alidai nisipomsamehe hana njia nyingine tofauti na kifo
tatu isiwe skendo kwa watu
mm ni mwanaume ambae sipendi cga ndani kitoke nje yan nahisi nacho kinaniumiza kifua changu kimebeba mengi....
note
hajui mama
kaka
wala
dada ni
mm tu na huyu mke wangu na hao jamaa.

ndugu wala usiwaambie!
 
****END******
Nilitumia wiki tatu kumtafuta jamaa bila mafanikio yan hata kazini haendi ..
tulipofika nyumbani mke wangu akala viapo vyoooote hadi vya biblia kwamba hatakaa arudie na kwamba ndo ilikuwa first time na ni pepo tu....

nikiamua kumkubalia yapite kwan alidai bila msamaha yeye atajiua.
ok tunaishi ila moyo wangu umepoa sana,
akifanya kosa dogo tu natamani kumpiga tu
kweli nilimpenda sana ila kwa sasa sihisi ule upendo wa awali.....
kwa watu wazima wa humu mliowah kupitia hali kama hii mlifanyaje?
mnisaidie kijana wenu
je huyu jamaa bado nahisi kumtafuta aniue au nimue
je nitafanyaje japo ni jirani yangu na nasikia wanahama hapa..
je ipo wakat utafika nitasahau kweli?
msaada wenu great thinkers
nipo mbele yenu...

*********************
tuepukane kuona kila kitu ni story asanteni sana.
wana saikolojia pl plz nawaombeni hasa pm
kwan simwamin mtu tena mke au mme
ninatongoza wake za watu japo sipendi
nakonda siku hadi siku
utendaji wa kazi umeshuka sana..

****************
ASANTENI
MKE AU MME WAKO SIMU YAKE INA SIRI NZITO

Oooooooh!! maskini pole sana.Hapa panatakiwa wana saikolojia hasa.Na viongozi wa dini wanatakiwa hapa kumweka sawa kijana.Mm msaada wangu ni kumwombea tu kwa mungu ampunguzie msongo wa mawazo.Eti baba msikivu ww ni dini gani??Binafsi imenigusa sana.Wacha nijaribu Pm mana sijawahi itumia daaaaah aiseee inauma sana.Mungu akupe amani ya moyo baba.
 
Back
Top Bottom