gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,604
****END******
Nilitumia wiki tatu kumtafuta jamaa bila mafanikio yan hata kazini haendi ..
tulipofika nyumbani mke wangu akala viapo vyoooote hadi vya biblia kwamba hatakaa arudie na kwamba ndo ilikuwa first time na ni pepo tu....
nikiamua kumkubalia yapite kwan alidai bila msamaha yeye atajiua.
ok tunaishi ila moyo wangu umepoa sana,
akifanya kosa dogo tu natamani kumpiga tu
kweli nilimpenda sana ila kwa sasa sihisi ule upendo wa awali.....
kwa watu wazima wa humu mliowah kupitia hali kama hii mlifanyaje?
mnisaidie kijana wenu
je huyu jamaa bado nahisi kumtafuta aniue au nimue
je nitafanyaje japo ni jirani yangu na nasikia wanahama hapa..
je ipo wakat utafika nitasahau kweli?
msaada wenu great thinkers
nipo mbele yenu...
*********************
tuepukane kuona kila kitu ni story asanteni sana.
wana saikolojia pl plz nawaombeni hasa pm
kwan simwamin mtu tena mke au mme
ninatongoza wake za watu japo sipendi
nakonda siku hadi siku
utendaji wa kazi umeshuka sana..
****************
ASANTENI
MKE AU MME WAKO SIMU YAKE INA SIRI NZITO
U have many thing to live with kaka trust me
U deserve better
Kama umeamua kumsamehe msamehe kimoja usiishi kwa.kinyingo hutapata amani