Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

Wasamehe, na wewe jitahidi kuondoa mawazo ingawa ni ngumu lakini itafikia kipindi utazoea na utarejea katika hali yako ya kawaida kama ujuavyo mwanzo mgumu

************************************
asante mkuu mungu awe nawe mtunze na usimsaliti mpenzi inauma sijapata kuona.
 
yani hata cha kushauri nakosa,anyways poleh sana,ushaona mtu anakuzingua jipende mwenywe kwanza,usijiue wala usiue ntu ,
 
Umefanya kosa kubwa sana kutaka kumkula Mzee wa watu lakini umefanya jambo Jema sana kumsamehe my wife Wako, please do the same kwa Jirani yako, huo Ndio upendo wa kweli tu
 
Mi pia nimecheka hadi basi simpatii picha alivofungua geti kwa kupiga teke na kupiga teke sufuria la chai jikoni chezeya kuchapiwa wewe yaan hilo lizee na huyo mke wa jamaa shame on 'em mxiuuuuuuuuu!

Lakini jamaa amenilet down bana, amemlegezea mzee mpaka ametimka mbio, hata kushika tak0 tu hajashika?..hajaitendea haki nafsi yake ndiyo maana bado haijasamehe, angempasulia hata yai tu basi nafasi ingeridhika na ikasamehe kabisaa!
 
Pole sana!
Duuu watu wana tofautiana na nimekushangaa wewe kutoa msamaha kwa huyo mkeo!

Ulitakiwa kumuacha au kufanya separation na hiyo kujiua ni uongo ungemuacha!

Hongera sana una moyo wa pekee!
 
Pole sana...
Inasikitisha na hivi hata watoto hakuna na upendo umeshatoweka...

Ngoja wanaume wenzako wakupe ushauri maana mioyo ya wanawake ni tofauti...
Ingekuwa mwanamke ungesikia vumilia hakuna mume wako peke yako...
na wanawake yakiwatokea haya kweli wanavumilia baada ya miaka maisha yanasonga kama hakuna kilichotokea...

Ila mioyo ya wanaume iko very weak (navyosikia)

Ndio maana sijajua kama hili la kuvumilia linaapply pande zote...

***************************
asante mkuu mtoto tunae mmoja ana mwaka kamili....na hii ndo inaniongezea hasira kwamba mwanangu bado mdogo ananyonya chuchu zilizochezewa na jibwa lingine
 
inaudhi sana lizee zima linafuatilia mke wa mtu tena mtu mwenyewe kijana 27yo, si kutafutana lawama! lakini kweli jamaa alijirudi akili ikafanya kazi, kumfanya mama mtu mzima, tena asiyehusika si jambo jema hata kidogo, lakini huyo mzee inabidi ashikwe hata tak0, kumlawiti si jambo jema tena na ni kujitia uchafu kwanza ni hasira tu hata huyo jamaa akivua mashine haiwezi kusimama, chezea tak0 la mwanamume mwenzako.lakini japo ashikwe tak0 tu, kisha akatoe ushuhuda kanisani kwake!

Hahahahha kuna usemi unasema "everyone is a victim and has a story to tell"
Kweli aiseee yaan nacheka sababu ya msisitizo Wa Mwana ila sio vitu vya kucheka hata kidogo
 
Back
Top Bottom