Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,370
- 11,092
[ NITAHAMAJE WAKATI NYUMBA NI YANGU?[/QUOTE said:Mkuu hapo mwanzo hujasema km nyumba unayoishi ni yako, nakushauri sasa jenga ingine km hutaki kufuga hao vinyamkera.
mwingine kakushauri fuga mbwa na ongeza Nguruwe hilo zizi lao tu watakoma halafu kula hiyo kiti moto kila siku Bw Apolonary au utasema ww Mujahidina basi huyo Subiani Bin Makata hatasogea tena maana utawasomea A-40ni