Nimechoka kunyongwa usiku wa manane, tafadhali msaada wa haraka

[ NITAHAMAJE WAKATI NYUMBA NI YANGU?[/QUOTE said:
Mkuu hapo mwanzo hujasema km nyumba unayoishi ni yako, nakushauri sasa jenga ingine km hutaki kufuga hao vinyamkera.
mwingine kakushauri fuga mbwa na ongeza Nguruwe hilo zizi lao tu watakoma halafu kula hiyo kiti moto kila siku Bw Apolonary au utasema ww Mujahidina basi huyo Subiani Bin Makata hatasogea tena maana utawasomea A-40ni
 
hii ni kawaida kabisa, hakuna ushetani wa aina yeyote.

Kuna wengine huwapata hiyo hali wakichelewa kulala sana, tena waweza sikia na sauti kama ya upepo mkali.

Au wengine huwapata wakivimbiwa msosi.

Haya mambo ya kila kitu kuwa pepo sababu watu wameshindwa kupata suluhisho naipenda aggggrrrrrr!!!?

Usile chakula kingi usiku .
 
Tatizo letu watanzania ni kujifanya tu watu wa dini sana na wakati tuliowengi mpaka leo twaogopa kulogwa. Sijamuona hata mmoja akimshauri kwenda kwa sangoma utadhani hapa JF hawap wanaoamini uwepo wa wachawi. Bwana e, jaribu na Sangoma pia ila usiende kwa sangoma wamjini. Wengi wao ni wezi na wajasiriamali kama wamiliki wa baadhi ya makanisa.
 
Sijui mimi nimefanyaje mpaka niandamwe kiasi hiki.Mara ya kwanza nilipewa ushauri mzuri na nikaufanyia kazi.Lakini baada ya miezi kama miwili hali yangu imebadilika kwani kunyongwa usiku sinyongwi tena. Bali sasa hv kuna kitu kizito ambacho usiku wa kuamkia leo kimeniegemea mpaka nikaamka shingo inaniuma.mbaya zaidi saa ambayo hicho/kitu/mtu/huyo anapokuja huwa niko macho lakini mwili hufa ganzi saa hiyo na sikuweza kunyanyua hata mkono.na hata nilipopewa ushaur wa kufanya maombi nilikuwa nafanya lakin usiku wa kuamkia leo kimenitokea tena?
Jinamizi:
Jinamizi ni ndoto mbaya (Nightmares) ndoto ambazo zinaweza kusababisha mhemuko wa ubongo na mvurugiko wa akili kihisia kiasi cha upelekea hofu hisio ya kawaida, uzuni na woga.

Wakati mwingine usababishwa pia na kukata tamaa katika mambo yako ya kimaisha, au kuwa ma wasiwasi na uzuni, kutishiwa maisha, usumbufu wa kisaikolojia, kwenda kulala hali ukiwa umeshiba sana, au dalili ya maradhi ya kiakili.

Wengi wanaosumbuliwa kwa kawaida kuamka katika hali ya dhiki na woga na uwachukuwa muda mrefu kurudi kulala.

Jinamizi vilevile usababishwa na ulalaji m-baya wa vyakula kiasi cha kuvimbiwa, kabla ya kwenda kulala, ambayo kuchochea ongezeko katika kimetaboliki ya mwili (kushiba sana), au ni dalili ya maradhi yanayoshambulia ubongo, kama vile homa au Maralia, au sababu za kisaikolojia kama vile dhiki na wasiwasi wa maisha...!

Unapaswa kuangalia upya jinsi unavyoyaendesha maisha yako na mahusiano yako na watu... Kuanzia kula yako, kazi zako, uvaaji wako n.k.

Tatizo likiendelea si vibaya kuonana na daktari wa matatizo ya akili kwa ushauri zaidi.
 
mimi kilishanitokea we acha tu kisikukute,yaani unakuta umelala na matoto pembeni lakini kinapokunyonga hata kumgusa huwezi,mwili huwa unakufa ganzi na hata kusema huwezi ila wakati kinaninyonga nikishindwa kujinasua huwa nakumbuka maneno ya Yesu,nakuanza kutanka shindwa katika jina la YESU huwa naendelea kutamka hivyo kama mara tatu nne hivi ndipo kinaniachia na neno la mwisho kama sijalimalizia kulitamka pindi kinaponiachia huwa ile sauti huwa kubwa hadi mtoto au wife wanastuka usingizini,na kuniambia ni nini mimi huwa namwambia wewe unaona nanyongwa hapa hata husaidii,
 
sijui mimi nimefanyaje mpaka niandamwe kiasi hiki.mara ya kwanza nilipewa ushauri mzuri na nikaufanyia kazi.lakini baada ya miezi kama miwili hali yangu imebadilika kwani kunyongwa usiku sinyongwi tena. Bali sasa hv kuna kitu kizito ambacho usiku wa kuamkia leo kimeniegemea mpaka nikaamka shingo inaniuma.mbaya zaidi saa ambayo hicho/kitu/mtu/huyo anapokuja huwa niko macho lakini mwili hufa ganzi saa hiyo na sikuweza kunyanyua hata mkono.na hata nilipopewa ushaur wa kufanya maombi nilikuwa nafanya lakin usiku wa kuamkia leo kimenitokea tena?

pole sana apolonary. Two things are possible for your problem.

1. Akili yako wewe mwenyewe, inasababisha hivyo, aidha kwa kufikiria, woga a u kulala vibaya.
2. Inawezekana wewe ni victim wa demon.

solution
1. Make sure una lala comfotably katika kitanda na sio kwenye kochi. Stop worrying. Usiangalie picha za mazombie sana au kabisa kwa sasa.
2. Hakikisha una muomba mungu alie umba ulimwengu na vilivyomo kabla ya kulala.
3. Inabidi uombewe dua na waislamu. Kwani hayo mapepo huwaogopa maombi ya waislamu. Huwezi kuyatoa au kuyadhibiti just kwa kupiga makelele.
4. If You are serious then ni pm.
 
Watanzania tuache mambo ya kumsingizia shetani na Mungu. Hakuna chochote hapo, Naomba ufuate ushauri ninaokupa japo kuna wachache wameshakupatia. kwanza hapa hakuna cha shetani wala nini. Fanya utafiti mwanyewe halafu niandikie majibu ya utafiti wako, siku ikitokea hiyo angalia ulikua umelalaje, nina uhakika utakuta ulilalia upande ambao sio uliouzoea siku zote, pili utakuta ulikua mchovu sana kabla ya kulala na ulipolala kuna wakati usingizi uliisha ila ukalazimisha kutafuta usingizi zaidi, tatu kama alivyoeleza mdau hapo juu ndani hewa ni ndogo. Point ya kwanza izingatie

pia soma hizi link hapa kuhusu tatizo lako na wengine mliotoa ushauri wa kulala na biblia au quran mjue hili ni tatizo la kawaida muwasaidie na wengine kwa kuwashauri hivi

http://en.wikipedia.org/wiki/Sleep_paralysis

http://serendip.brynmawr.edu/exchange/node/1740

Nakutakia kila la kheri
wasalaam
 
ebu nitafute kwa number hii 0758928497 haraka nitakusaidia hyo mijinamizi aita kusumbua kabisa
 
Pole sana.. Ushauri wangu..weka maisha yako kwenye mikono ya Mwenyezi Mungu kupitia imani au dhehebu lako. Mwangukie Mungu kwa Moyo wako wote na hata ukisali hakikisha unasali toka moyoni na siyo kuimba sala kama shairi. Jenga imani hadi uone unamwomba Mwenyezi Mungu kuwa kama yeye anataka wewe uendelee unyongwe kila siku na iwe hivyo..lakini si kama wewe unavyotaka.

Kama unasali na unayo imani kwa Mungu basi haukuwa na haja ya kuhama ile nyumba ya kwanza. Pia kumbuka kama bado unaamini nyumba ya sasa bado ina mikosi basi hiyo ni dalili ya kuwa imani yako bado ni ndogo...

Endelea kusali kwa dhati na Amini Mungu atakusaidia..otherwise, utaendelea kupigika na kusaga meno..

Kwa lugha nyepesi UOKOKE
 
pole sana apolonary. Two things are possible for your problem. 1. Akili yako wewe mwenyewe, inasababisha hivyo, aidha kwa kufikiria, woga a u kulala vibaya. 2. Inawezekana wewe ni victim wa demon. solution 1. Make sure una lala comfotably katika kitanda na sio kwenye kochi. Stop worrying. Usiangalie picha za mazombie sana au kabisa kwa sasa. 2. Hakikisha una muomba mungu alie umba ulimwengu na vilivyomo kabla ya kulala. 3. Inabidi uombewe dua na waislamu. Kwani hayo mapepo huwaogopa maombi ya waislamu. Huwezi kuyatoa au kuyadhibiti just kwa kupiga makelele. 4. If you are serious then ni pm.
picha za mazombi ni nini?
 
sijui mimi nimefanyaje mpaka niandamwe kiasi hiki.mara ya kwanza nilipewa ushauri mzuri na nikaufanyia kazi.lakini baada ya miezi kama miwili hali yangu imebadilika kwani kunyongwa usiku sinyongwi tena. Bali sasa hv kuna kitu kizito ambacho usiku wa kuamkia leo kimeniegemea mpaka nikaamka shingo inaniuma.mbaya zaidi saa ambayo hicho/kitu/mtu/huyo anapokuja huwa niko macho lakini mwili hufa ganzi saa hiyo na sikuweza kunyanyua hata mkono.na hata nilipopewa ushaur wa kufanya maombi nilikuwa nafanya lakin usiku wa kuamkia leo kimenitokea tena?

pole sana apolonary. Two things are possible for your problem.

1. Akili yako wewe mwenyewe, inasababisha hivyo, aidha kwa kufikiria, woga a u kulala vibaya.
2. Inawezekana wewe ni victim wa demon.

solution
1. Make sure una lala comfotably katika kitanda na sio kwenye kochi. Stop worrying. Usiangalie picha za mazombie sana au kabisa kwa sasa.
2. Hakikisha una muomba mungu alie umba ulimwengu na vilivyomo kabla ya kulala.
3. Inabidi uombewe dua na waislamu. Kwani hayo mapepo huwaogopa maombi ya waislamu. Huwezi kuyatoa au kuyadhibiti just kwa kupiga makelele.
4. If you are serious then ni pm.

pole sana apolonary. Two things are possible for your problem. 1. Akili yako wewe mwenyewe, inasababisha hivyo, aidha kwa kufikiria, woga a u kulala vibaya. 2. Inawezekana wewe ni victim wa demon. solution 1. Make sure una lala comfotably katika kitanda na sio kwenye kochi. Stop worrying. Usiangalie picha za mazombie sana au kabisa kwa sasa. 2. Hakikisha una muomba mungu alie umba ulimwengu na vilivyomo kabla ya kulala. 3. Inabidi uombewe dua na waislamu. Kwani hayo mapepo huwaogopa maombi ya waislamu. Huwezi kuyatoa au kuyadhibiti just kwa kupiga makelele. 4. If you are serious then ni pm.
picha za mazombi ni nini?

mazombi ni picha za kutisha. Kula nyama za watu, wanyama wakutisha, picha za mizimu etc.
 
Naamini Allah ni Mungu, lakini hatetewi kwa njia hii.
Wewe wala si Muislamu safi maana hakuna matusi, tishio la kifo wala hasira inayomtukuza Mungu.
Mkuu Lole Gwakisa Pamoja na kuamini kuwa Allah ndiye Mungu jaribu kuwa Mvumilivu hapa hatukuja kuleta kashfa za Dini hapa tumekuja kumsaidia Mwenzetu huyu anaye kabwa usiku wa Manane na vitu visivyojulikana tumsaidie huyu jamaa anaye kabwa sio kuleta mizozo ya dini hapa
 
mimi kilishanitokea we acha tu kisikukute,yaani unakuta umelala na matoto pembeni lakini kinapokunyonga hata kumgusa huwezi,mwili huwa unakufa ganzi na hata kusema huwezi ila wakati kinaninyonga nikishindwa kujinasua huwa nakumbuka maneno ya yesu,nakuanza kutanka shindwa katika jina la yesu huwa naendelea kutamka hivyo kama mara tatu nne hivi ndipo kinaniachia na neno la mwisho kama sijalimalizia kulitamka pindi kinaponiachia huwa ile sauti huwa kubwa hadi mtoto au wife wanastuka usingizini,na kuniambia ni nini mimi huwa namwambia wewe unaona nanyongwa hapa hata husaidii,
ulijijengaje kiimani?
 
Mkuu.@Apolonary hujatuambia unapoishi wewe ni wapi na mji gani umepanga au ndio wewe ni mwenye nyumba? hapo unapoishi nyumbani muko wangapi katika hiyo nyumba?na ukitaka msaada zaidi wasiliana na mimi kwa njia ya email yangu hii (fewgoodman@hotmail.com) ninaweza kukusaidia...........
 
mkuu.@apolonary hujatuambia unapoishi wewe ni wapi na mji gani umepanga au ndio wewe ni mwenye nyumba? Hapo unapoishi nyumbani muko wangapi katika hiyo nyumba?na ukitaka msaada zaidi wasiliana na mimi kwa njia ya email yangu hii (fewgoodman@hotmail.com) ninaweza kukusaidia...........
mkuu ninaishi arusha. Nyumba ninayoishi ni yangu. Lakini kuna wapangaji pia.
 
Mkuu, nadhani unapatwa na NIGHTMARES, hii ilikuwa inanitokea hata mimi miaka kadhaa iliyopita. Nitajie vifuatavyo:
jinsia yako
urefu wako ktk cm
Uzito wako ktk kg

kisha nitarudi
 
Back
Top Bottom