Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa

endeleeni kumponda na kumpa ushauri...!

@rubylove...ndo mimi huyooo PM kwako huku naimba kale kawimbo ketu, "mapenzi hayana mwenyewe...unaweza penda kijana au mzee....niite jina gani mpenzi...kuna muda namwomba Mungu angetuleta pamoja..."
 
mm ni Binti wa miaka 26.Nina mchumba tuliwekeana ahadi tutaoana. ila naona mda unaeenda na yy ukimuuliza hajajipanga kimaisha nimechoma kumsubiri. natafuta mume wa kunioa.mm ni mwislamu ila napenda kuolewa na mkristo nipo tayari kubadili dini.angalau awe na Miaka 27-37.sijaweka number kwa sababu maalumu. ukihitaji NM tutawasiliana.naishi dar

juzi ulisema una miaka 22 leo 26...haya waoaji kazi kwenu mie nina mke.

https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/13007471
 
Muulizeni kama bado ni bikira, kuna kaka angu anatafuta mchumba lakini bikra
 
kila lakher bt uwe makini usiende speed sana take time kufanya maamuz maana ukikurupuka utajutia maamuz yako pia usisahau kumwomba Allah akupe subra na wepesi
 
mm ni Binti wa miaka 26.Nina mchumba tuliwekeana ahadi tutaoana. ila naona mda unaeenda na yy ukimuuliza hajajipanga kimaisha nimechoma kumsubiri. natafuta mume wa kunioa.mm ni mwislamu ila napenda kuolewa na mkristo nipo tayari kubadili dini.angalau awe na Miaka 27-37.sijaweka number kwa sababu maalumu. ukihitaji NM tutawasiliana.naishi dar
mkuu naomba nikushauri kuwa "kuolewa hakukimbiliwi" kwa pupa kama unavyotaka kufanya
tulia jipange na umuombe Mola atakuletea mwenza, kwani wahenga walinena kuwa
mtaka vya pupa.....?
 
Kwa jinsi demand ya kuolewa ndani ya muda wanaotaka wao, bila kuangalia hali za wenzi wao kwa wanawake walio wengi nchini inavyoongezeka kwa kasi sana, tusije kushangaa tukaanza skia wanawake ndio wanaoa wanaume. BTW, vijana ambao bado hamjaoa jitumeni. Maisha si lele Mama kama mnavyofikiri.
 
Kwa jinsi demand ya kuolewa ndani ya muda wanaotaka wao, bila kuangalia hali za wenzi wao kwa wanawake walio wengi nchini inavyoongezeka kwa kasi sana, tusije kushangaa tukaanza skia wanawake ndio wanaoa wanaume. BTW, vijana ambao bado hamjaoa jitumeni. Maisha si lele Mama kama mnavyofikiri
 
Mbn we n muongo muongo sana, kwenye thread unasema una miaka 26, mbn huku una miaka 23, me siwezi oa mwanamke muongo km ww!
Nahisi hata huyo mtu ako hatak kukuoa na uongo wako huenda ikawa n moja ya sababu.
 
Attachments

  • 1451391326553.jpg
    1451391326553.jpg
    19.6 KB · Views: 142
mm ni Binti wa miaka 26.Nina mchumba tuliwekeana ahadi tutaoana. ila naona mda unaeenda na yy ukimuuliza hajajipanga kimaisha nimechoma kumsubiri. natafuta mume wa kunioa.mm ni mwislamu ila napenda kuolewa na mkristo nipo tayari kubadili dini.angalau awe na Miaka 27-37.sijaweka number kwa sababu maalumu. ukihitaji NM tutawasiliana.naishi dar
Kwanini dada yangu unapenda kuolewa na mkristo?
 
mm ni Binti wa miaka 26.Nina mchumba tuliwekeana ahadi tutaoana. ila naona mda unaeenda na yy ukimuuliza hajajipanga kimaisha nimechoma kumsubiri. natafuta mume wa kunioa.mm ni mwislamu ila napenda kuolewa na mkristo nipo tayari kubadili dini.angalau awe na Miaka 27-37.sijaweka number kwa sababu maalumu. ukihitaji NM tutawasiliana.naishi dar

nina iman mpaka mda huu pm yako inazaidi ya msg 50. Hapo wale wanaocheza kaunta attack tayar wameshaingia. Usipo kuwa makin watakuvua humu hutaisahau jf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom