Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,372
- 95,221
Kati ya Dar(nina nyumba), Iringa nina kiwanja, Mwanza (nina kiwanja), na Tanga...
Wapi pametulia na kwenye fursa za Biashara?
Dar na Mwanza hakujatulia, lakini ndipo kuna fursa za biashara zaidi...
Iringa na Tanga kumetulia, lakini kumepooza kibiashara...