Nimechoka kuhama hama...

Kati ya Dar(nina nyumba), Iringa nina kiwanja, Mwanza (nina kiwanja), na Tanga...

Wapi pametulia na kwenye fursa za Biashara?

Dar na Mwanza hakujatulia, lakini ndipo kuna fursa za biashara zaidi...

Iringa na Tanga kumetulia, lakini kumepooza kibiashara...
 
Mmmm sasa umeajiriwa utawezaje kujipangia iwe hapa kwa muda mrefu ?? Sijaelewa hapo
Ooh Yan nahitaji sehem familia yangu itakapo tulia mie hata kama nikipangiwa sehem nyingine maana mara nyingi nmekuwa nkihama nayo
 
Kila mkoa una fursa za kipekee kibiashara, Panua wigo kwa kuweka wazi ni aina ipi ya biashara unapendelea.

Pia tafakari kwa kina ni mkoa upi utakufaa zaidi katika maisha yako ya uzeeni.
Ufugaji na biashara
 
Dar na Mwanza hakujatulia, lakini ndipo kuna fursa ya biashara zaidi...

Iringa na Tanga kumetulia, lakini kumepooza kibiashara...
Hiyo mikoa Iringa na Tanga ukituliza akili unaweza kuleta utawala wa kibiashara ...Dar ushindani mkubwa .
 
Sorry naomba kufahamu kwanini Iringa unahisi Kuna utulivu?
Mkuu, Iringa ni kuzuri kuishi kwa maana ya hali ya hewa pia gharama za maisha zipo chini na hakuna mambo mengi kama jiji la Dar. Kuhusu biashara Dar ipo vizuri zaidi. Ila kila sehemu kuna aina za biashara zinazoweza kufanyika.
 
Ooh shukulan mkuu
 
Kwa kipengele hiki, ushauri wangu | Uza kiwanja cha iringa, na (Sogea mkoa wa Mororgoro) Nunua kiwanja na fanya ufugaji na biashara hapo Moro. Hakika hutojutia.
Kila mkoa thaman ya kiwaja zinatofautiana naweza uza Iringa Alf moro nikakosa kiwanja kitakacho kidhi. cjui unanielewa
 
Back
Top Bottom