Nimecheza muziki na shoga

kwan ww ni mwanamke au mwanaume. utakuwa unapepo la ngono kaombewe ndugu yangu huo msisimko wa kumwona shoga uishe. nyambavuuuuuu. usilete u Cameroon kwenye Jf .
 
Wana JF
Naomba tushauriane suala hili.muda huu niandikapo natoka kucheza muziki na shoga.kwa mbali naambiwa alikuwa tanga.alikimbia kule kwa kudhurumu.yeye ni mrefu,mwembamba wastani.ananing'iniza kipima joto chenye mkanda mrefu kabisa.mim ni mara ya kwanza kumuona shoga.kusema kweli nimemuona kwa mara ya kwanza shoga.nimesisimkwa mwili balaa"

Kama huoni kinyaa kula tiGo mkuu.
 
Watu wengi wanacheza na mashoga,katika football na basketball. Mi nadhani kulala na shoga ndio jambo lenye utata. Lakini kucheza dansi na shoga sio kosa.
 
Wana JF
Naomba tushauriane suala hili.muda huu niandikapo natoka kucheza muziki na shoga.kwa mbali naambiwa alikuwa tanga.alikimbia kule kwa kudhurumu.yeye ni mrefu,mwembamba wastani.ananing'iniza kipima joto chenye mkanda mrefu kabisa.mim ni mara ya kwanza kumuona shoga.kusema kweli nimemuona kwa mara ya kwanza shoga.nimesisimkwa mwili balaa"

umesisimkwa kwa maana ipi? kumuona tu, kucheza nae tu au umeimagine shughuli nzima ya ushoga ndio ikakusisimua?? if so you are in trouble??!!!! otherwise shoga ni binadamu kama wengine, kama hushiriki nae masuala yake ya kishoga hakuna tatizo kukaa nae au kucheza nae!
 
Wana JF
Naomba tushauriane suala hili.muda huu niandikapo natoka kucheza muziki na shoga.kwa mbali naambiwa alikuwa tanga.alikimbia kule kwa kudhurumu.yeye ni mrefu,mwembamba wastani.ananing'iniza kipima joto chenye mkanda mrefu kabisa.mim ni mara ya kwanza kumuona shoga.kusema kweli nimemuona kwa mara ya kwanza shoga.nimesisimkwa mwili balaa"

so tufanyeje?
 
Sa usaidiwe kwa lipi!kutokana na maelezo yako ulimfahamu kua ni shoga ndo ukacheza nae so cms tayari kimawazo ulikua umedhamria .Umesisimka kwaiyo unataka tukupe goahed au.

Dunia yako chaguo lako
 
Wana JF
Naomba tushauriane suala hili.muda huu niandikapo natoka kucheza muziki na shoga.kwa mbali naambiwa alikuwa tanga.alikimbia kule kwa kudhurumu.yeye ni mrefu,mwembamba wastani.ananing'iniza kipima joto chenye mkanda mrefu kabisa.mim ni mara ya kwanza kumuona shoga.kusema kweli nimemuona kwa mara ya kwanza shoga.nimesisimkwa mwili balaa"

wewe, kwahiyo labda unatakaje mpendwa?
 
Wana JF
Naomba tushauriane suala hili.muda huu niandikapo natoka kucheza muziki na shoga.kwa mbali naambiwa alikuwa tanga.alikimbia kule kwa kudhurumu.yeye ni mrefu,mwembamba wastani.ananing'iniza kipima joto chenye mkanda mrefu kabisa.mim ni mara ya kwanza kumuona shoga.kusema kweli nimemuona kwa mara ya kwanza shoga.nimesisimkwa mwili balaa"

Kwangu kucheza na shoga naona ni mkosi mkubwa na kutokuwatendea haki wadada ambao wapo kwa ukamilifu wao mzuri. Naomba Mungu aniepushe na mambo hayo.:A S confused:
 
Aaaaah kwa hiyo umekula kidoti/ndogo/jicho/tigo/kete/toi sioo!!!!!!?????@mtoa thread
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom