Nimebarikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Serikali Iniangalie katika hili

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,364
11,520
Mi naishi kwa sister toka nimalize degree. Kazi yangu bado sijaipata naisubiria. Nitapata tu. Ila bado nahitaji kuendelea na mchakato wa papuchi. Siwezi sema eti nisubiri nikipata pesa.

Basi last week shem na sister walisafiri nikawa nimeachiwa nguo za kunyosha za shem. Nikaona nijaribu...zikanitosha..

Basi nikawa napiga hizo nguo naenda town. Nikaenda Bank CRDB nikawaambia nataka kufungua akaunt ya Kampuni. Nikakabidhiwa kwa dada mrembo.tukashare namba za simu.

Nikamkaribisha home kwa sister.akaja nilimdanganya pale ndo home. Ilibidi niondoe picha za sis na shem. Yule dada akaamini pale ni kwangu.dada wa kazi nlimpa 2000 aende kutembea. Yule mtoto wa crdb nikamgegeda.

Nikahamia NMB nako nmechakata mtoto mmoja mzuri kwa style hiyo hiyo. Akanipeleka kwao...nlimdanganya gari yangu ipo garage na nyingine ipo kwenye meli.mama yake akanikubali naye nikamchakata kwa bia 3 tu ambazo pesa alinipa jamaa yangu 10,000 ya nauli ya kwenda tafuta kazi.

Nmekutana na jamaa yangu tulisoma chuo ana biashara zake nikamwambia nami nmeajiriwa GSM akaniamini akataka nami nimsaidie ahamie pale maana nlimwambia pale mshahara wao si mkubwa sana wananipa tsh mi 4 tu jamaa akanambia anataka na yeye.

Nikamwambia nitamuunganisha na Hersi maana yule na Manara ndo Big Chawas. Akanishukuru sana akanipa tsh 50,000 ya kutumia nikionana na Manara Lunch Time.

Yaani ikanisaidia ile mbaya ile 50,000. Imenisaidia kuchakata mademu 15 tofauti tofaut. Yaani jamaa alinifaa sana next week sister na shem wanarudi. Hawa madem nmewaambia naenda Dubai na nitaenda China. Nimebadili namba kwa muda.

Yaani kwa kweli nmewaza hivi Serikali haiwezi niajiri? Ikanitumia kwenye mambo yake. Naamini naweza sana isaidia nchi yangu. Kuwe kuna namna ya watu kama sisi kupewa hata mitaji tujiendeleze.
 
JamiiForums-431446709.jpg
 
Nashauri umpe Yesu maisha yako uokoke!! Hii dunia na mambo yake inapita kwa kasi na hakuna atakayeingia jehanamu halafu akashukuru kuwa duniani alifaidi sana, bali ni kilio na kusaga meno!! Yesu anakupenda sana na anakuita akuokoe!!
Mara paap suala la kuchomwa moto lilishafutwaaaa......
 
Kwani form5 Bado hawajaripoti tu?
 
Nashauri umpe Yesu maisha yako uokoke!! Hii dunia na mambo yake inapita kwa kasi na hakuna atakayeingia jehanamu halafu akashukuru kuwa duniani alifaidi sana, bali ni kilio na kusaga meno!! Yesu anakupenda sana na anakuita akuokoe!!
we nawe huna swaga!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom