Nimeanza kuelewa kwanini wanawake wa Kiislam wanabanwa kwenda misikitini, huku kwa Wakristo hali imekuwa mbaya, wachungaji wanawageuza midoli

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Na ni katika haya makanisa ya wachungaji wa mchongo, wanawake wamekuwa mitaji kwakuwa ni wepesi sana kuwachezea kiimani wakakuamini na ukawafanya chochote.

Yani wanawake wakishaona mtu anaruka ruka anapiga makelele huwaambii kitu hapo wanajua ni kweli ni mapepo wanamuona mchungaji ni kama Mungu.

Huko Kenya katika tukio la hivi karibuni kuna mama alienda na watoto wake wanne huko kwa mchungaji akilazimisha watoto wake nao wasile ili wafunge na kupaa kwenda mbinguni, hizi akili fupi za mama zimewasomba na watoto.

Huko makanisani imeshakuwa kawaida kwa wachungaji kulalal na wake za watu kwa kuwaaminisha kiimani wanapokea upako, ukiona mke wako kaanza kwenda sana hayo makanisa mambo ya mkesha na maombi hata ya siku za jumatano hapo ujue kuna mchungaji anajipigia.

Wamama wamekuwa ni vichaa wa mafuta ya upako, yani hata liwe tatizo ambalo halina dawa mfano mtoto kazaliwa albino wao watakimbilia mafuta ya upako.
 
Kwani kama dini ilikuwa ya kweli kisha wazungu wakaichakata upya na kisha wakapitia uchawi Nigeria plus maigizo ya viwete kupona na wakamalizie na kuwa na mifumo ya akina kibwetere na mackenzie bila kumsahau papa anayekubali Us..ng.. Kinamna, kuna dini tena hapo?
 
Na wanaume ni mazuzu pia. Utaendaje na mke au Dada au mama huku mapaja na matiti yanaonekana kwa mwanaume mwenzio?

Hapo ndio mnaharibu kabisa. Wanawake ni dhaifu ila wanaeleweshwa na kukubali kwa mazuri
Na ukimfundisha mabaya ukilazimisha yawe mazuri basi ndio kupotea huko
 
Kuna jirani yangu jinsi anavyomuogopa na kumnyenyekea mchungaji wao hadi huruma! Wakati Masheikh na Wachungaji ni binadamu wa kawaida tu.
 
Waliofunga kumuiga mungu wao yesu


1682959352562.jpg
 
Back
Top Bottom