32 years mbona bado unadai?una miaka mingi tu kabla ya menopause.au kila rafiki zako wana watoto?jipe muda kwanza usifanye haraka.inaomyesha kama una stress hivi.jipe busy kwa mambo mengine.ila kama uamuzi wako hautobadilika.good luck.unaweza ukawa single mum,ukawa mama mzuri tu kwa mtoto wako,kwa wanaosema,maisha bila baba kwa mtoto sio mazuri.mimi nimeishi bila baba,mama alikuwa the best mum,na sijaona mapungufu yoyote yale katika malezi niliyolelewa