Chokochoko
JF-Expert Member
- Oct 15, 2011
- 438
- 183
- Thread starter
- #61
nashukuru kwa ushauri mzuriSiungi mkono uamuzi wako kwa sababu mtoto anahitaji mapenzi ya Wazazi wote wawili na kuwa single mother siyo rahisi kama unavyofikiria hata kama una mapesa ya kumwaga kwa sababu malezi ya mtoto si kuwa na pesa tu, jifikirie mwenyewe maana inaelekea umelelewa katika nyumba ya Baba na Mama, hivi mzazi wako mmoja angeamua kukutorosha na kutomjua Baba/Mama yako katika huu umri wa utu uzima ungejisikiaje kwa kutomfahamu Baba/Mama yako? Unachotaka kukifanya cha kupata mimba halafu kuingia mitini si sawa hata kidogo umekuwa very selfish na kujifikiria wewe tu badala ya kuwafikiria wahusika wengine wawili huyo atakayekutia mimba na mtoto atakayezaliwa.
basi sitatoroka wala sitamficha baba mtoto wake hatakama hatakua anamuhitaji ila kuzaa muhimu