baada ya kusoma kwa umakini mkubwa ushauri wa wana jf...asubuhi hii nimeamka nina confidence ya ajabu hadi najishangaa.....nipo nimeshafika ofisi za hii kampuni nasign mkataba na safari itaanza mara moja!!!
Sijahitaji ushauri mwingine wa kaka wala mchumba
ni safari straight to meatu.........
Meatu here i come..................................asante jf ...asanteni wote...!!namomba mnitakie safari njema na maisha mema