Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

Pole sana kwa tatizo hilo lililokukumba kaka,ulifanya busara sana ulipokaa kikao binfsi wewe na mkeo pasi na kushirikisha mtu,na hiyo ikiwa kama ni hatua ya kwanza ya utatuzi wa matatizo ya kifamilia ndani ya nyumba ili kuokoa ndoa yenu...,
je,ulipoona imeshindikana hasa kwa muda huo wa miaka saba na tatizo likiendelea kukomaa ni kwanini haukushirikisha wazee wenye busara zao ili mkalizunguza hilo suala na mkeo akatoa matatizo yake?,..
Ni kosa kubwa mno umelifanya hasa kwa uamuzi uliochukua na pengine hauwezi jua dhumuni la mkeo,pengine ni kukupima uaminifu wako na uliwahi kujiuliza endapo siku itatokea na akagundua kuwa unatembea na housegirl kisha yeye akawa wa kwanza kufika kwa wazee kukushtaki,utajielezaje?
 
that is TOTALLY wrong.

UNATUMIA PETROLI KAMA KINGA YA KUZUIA MOTO UNAOKARIBIA KUMALIZA KUUNGUZA MSITU.

MAKE A U TURN IMMEDIATELY.

YESU ANAOKOA.
 
Kwan huyo hous gel wako mama huruma hawez kukuletea ngoma? We zuzu kweli subr mwisho wake utapata jibu.
 
Its very easy kama hii haijatokea kwako..-la upo sawa kijana na huyu mkeo nae ana matatizo either anafanya kama wewe au sio mtu wa kawaida au basi mmeshachokana mnaishi kimazoea mwezi no tendo la ndoa na wala hamstuki kweli hapo kuna kitu aisee....fanya uchunguzi kwa umakini zaidi..ukimwi una uhakika gan kama hg hana?
 
siku hizi wanawake hasa wake za watu wanamisongo sana ndo maana tendo kwao zero na bongo mabinti wako tayari kwa waume za watu, zawadi huwa HIV tu. sikuamini sana kama ametuliza ndoa ila itakuwa shida baadae ila kwa hilo huna ujanja jaribu kumfuatilia wife anapenda hobi gani kama akiwa hana misongo ya mawazo sana atakuhudumia tu, maisha ya wadada yamechange so mwisho ndo huo haupo alone wanaume wengi wanaishi na wake zao basi tu kutunza heshima ila hali siyo nzuri kuanzia kigoma hadi zanzibar. manzese kwa mfuga mbwa ona wateja ni waume za watu wewe afadhali unakipozeo ndani wengine hawana ndo wateja kule na mwisho watabugia ARVs feki.

wadada wapunguze ubize unaoleta misongo coz kubwa ya HIV ni pale mke akiwa mjamzito, anapokuwa bize asihudumie mume au mume akiwa dhaifu pia nje watu wako makini kutia liukimwi. Tafadhali hilo tatizo liko kwingi sana TZ na kwingine nje si shwari
 
Si bora ujauzito, ukimwi je? ambao hajua huyo hsegal anakutana na nani mwingine eti anamuonea huruma "boss wake"!!! anaonea huruma wangapi huko nje. Kwa hiyo akija jirani naye na kesi kama ya kwako atamsitiri.

Unatumia kinga? Kama jibu ni 'hapana', akipata ujauzito?
 
UMEKOSEA SANA!!......Hiyo moja,mwaka jana mwezi wa tano nikipata binti wa miaka 25,kutokana na ishu ya Ma...,nikafanya mbinu za kimafia nikampima kabla hajaanza kazi,looh HIV POSITIVE!kwa sababu ya watoto nikamrudisha.So please usiwaamini sana hawa watoto wa ndani,wengine wamezaliwa navyo,wengine wanaambukiziwa na baosi wao kama wewe hapo,na pia watiwa na vijana wa boda boda chap chap kwa kuinama tu.
USHAURI.......
Mkuu, bila kuathiri mtiririko wa mjadala,
hii post yako imedhihirisha namna stigma (unyanyapaa) ulivyosimika mizizi kwenye level ya kifamilia. Ukionesha upendo na kujali unaweza kuishi na mtu mwenye maambukizi bila ya kuathirika, tena waweza ukawa msaada mkubwa kwake na akawa the same kwenu.

Tukirejea kwenye mada.
Mtoa hoja amefululiza kwenye janga kisha anakuja kuuliza how was it? Lakini inaonesha nafsi yake imemsuta na anatafuta namna ya kujinasua na ulimbo aliojitegea mwenyewe. Naungana na ushauri wa kuwaona wataalam wa saikolojia na elimu maumbile aweze kutatua tatizo la mkewe na watarejea ktk hali ya kawaida...

Huyo HG usidhani alikuhurumia bali aliona ni bahati ya kipekee kuingilia mahusiano hayo na si bure
janga lipo mlangoni

 
Matatizo haya yapo sana katika ndoa, wanaume naomba mkubali kua wanawake sio kama wanaume. mwanamme hata ukimwambia kila siku uroda anataka, tofauti na wanawake. kuna wakati kweli mwezi unakatika na ukajionea sawa tu wala hushtuki na wala huna mtu wa pembeni, ni either maumbile au maybe aina ya maisha tunayoishi sasa hivi, kuwa busy kupita kiasi, muda mwingi umechoka. nadhani na vyakula pia vinachangia. kutokula chakula kinachofaa.
housegal ni kama mtotot wako wa kumzaa maana pamoja na kusaidia nyumbani lakini unamlea. sidhani kama kumvulia chupi kwa kudhani hutapata ukimwi ndio solution ya tatizo. Kesho akiondoka akaja mwingine akakataa, utafanyaje?
mimi nadhani cha msingi, endelea kuongea na mke wako kabla soo halijabumbuluka, usikate tamaa kusema nae. holiday pia zinasaidia, a week end out of town, sijui mara ya mwisho mlienda lini? maana hua zinasaidia sana, ku refresh mind na mambo mengine. Mkitoka nje ya mji weekend moja tu mkirudi ni kama mmeoana jana.
House gal muache maana ni sawa na kutembea na mwanao wa kumzaa.
 
najaribu kutafakari sipati jibu. Hivi house gal wako unawezaje kuongea naye mambo ya ndani mpaka unavyonyimwa unyumba na mkeo...!!!! mlianzaje mpaka ikafikia kua sasa kakuonea huruma hivyo yeye atakutimizia??? yaani wewe kaka umechemsha. House gal si anapaswa kuongea na mama mwenye nyumba...!!! mume mwenye adabu mwingine hata sura ya house gal wake anaweza asiijue maana saa ngapi wanaongea..!! nimechoka kabisa.
 
Du hata mm jana tu H/G wetu ndio karudi kwao Morogoro nimejikung'utia mwaka na miezi 6 bila wife kugundua na nilikuwa nawachanganya.
Kakuku ka kienyeji katamu maana kanatetemeka kweli ukikaweka mguu pande mpaka utumie ubakaji na huchekewi nashukuru kameondoka salama bila kushtukiwa

Lahaula!!!!!! JF kuna mambo
 
Wabongo kwa kujifanya ni washauri wazuri hawanaga mpinzani. Watoapo ushauri utadhani wao hawapigi ma HG wao. Tusidanganyane hapa. Tuliowengi ndio mchezo wetu huu. Bora mimi wife nilimuonya kabisa asiajili HG mzuri kwani lazima ningekula. Mpaka hivi sasa namshukuru sana wife hajakiuka yale niliyomwambia so anaajili wale wasio na mvuto tu na hii imetusaidia sana kuishi kwa amani kwa muda mrefu ila kuna mmoja huyo wajirani huwa akipiga ile mi transparent yake analeta shida kidogo kwenye ubongo wangu na bahati mbaya wife anamjuwa kuwa yule binti anamvuto so anajitahidi sana nisimsogelee. Mapenzi hayana macho (love is blind) na hukuna cha HG na baba mwenye nyumba wala HB na mama mwenye nyuma. So bora ya Mwana Kwetu kasema ukweli kuliko sisi tunaojifanya washauri wazuri na wakati ndio mambo yetu haya. Tena huyu nanihiii huyu hapa anayetumia jina la....wewe nitakutaja kabisa. Wewe ni mara ngapi umeenda kule kwenye chumba cha HG tena ulitaka kumbaka bila hata kuomba ridhaa yake? Nitasema mimi. Usiridie tena.
 
Usisikilize ya watu hata kama ni wa humu JF. Mapenzi ni ya wawili na hayana macho. Wewe piga huyo HG mpaka kieleweki. Eti uonavyo wewe huyo binti amekupenda au hajakupenda?
 
Ipo siku utakuja kumwambia mkeo kua shetani ndo alisababisha,watch out kabla chumvi haijamwagikia mtungini ukashindwa kuitia ktk mboga
 
Mke atoi tunda kwa sababu ana fundi seremala anaesugua kitumbua chake na Fundi seremala ana tembea na beki tatu bila mke wala beki tatu kujua...
Beki tatu nae mchezaji mzuri tuu kesha megwa na mtoto mkubwa wa kiume wa bosi wake isitoshe uko alipotolewa ana wengine walimbanjua ile amri ya sita..Hiyo tisa kumi kule sokoni ana muuza nyanya na muuza nyanya si mkewe alishakufa kwa ukosefu wa kinga mwilini beki 3 ajui
Mume sasa anapunguza machungu ya mke kwa beki tatu bila kufikiri aliyosema beki tatu kwamba kial kitu kitakuwa under contral
SWALI MJULIZE MKO WANGAPI?....KUDADADEKI NYIMBO ZOTE HIZO LAKINI MMEKUWA SIKIO LA KUFA
 
teh teh teh teh basi mwenyewe unajiona bonge la kidumeeee. Na umesolv ishu kiutu uzima.. Pole yako unachokifanya wewe jua kuwa ni marudio kwa mkeo kwani mwenzako ashachukua uamuzi kama wako kitambo sana.wewe unastukia kujifunika shuka wakati?? Kumekucha...???
Hapo chacha
 
Nina mke na watoto 3 wote tunafanya kazi. Tulipozaa mtoto wa pili wife alianza kupunguza umuhimu wa tendo la ndoa sijua ni kwa kuzoea au kuchoka.

Tumewekana vikao vyetu binafsi ili kila mmoja abainishe ni vicocheo gani vinakosekana ili tuviongeze kuboresha mchezo. Wote siyo walevi na tuko karibu kifamilia. Ukifuatilia labda mkeo ana mtu hupewi taarifa zozote mbaya. Sasa tatizo ni kitu gani hatujui. Ukimwuuliza naye anakwambia mume wangu nivumilie nitajitahidi ila baada ya mwezi anarudi kule kule. Usipochombeza anaweza kupitiliza hata mwezi bila kukumbushia huku tukiendelea kuheshimiana kwa sana na peace na upendo ukitawala katika nyumba.

Hali hii imenisumbua kwa muda karibu 7 years na ili kuepuka kugombana na kuepuka kwenda nje kupata UKIMWI basi nikaamua nimweleze binti ambaye anatusaidia kazi home na akaonyesha kunisikitikia kwani mi si mtu wa baa useme ningetafuta huko na pia naogopa UKIMWI. Binti aka sema anaweza ku handle hiyo situation kwa masharti kwamba ataendelea kuniheshimu mimi pamoja na wife ili chochote kisishtukiwe.

Kwa mtazamo wangu hata kama mtaniona blind ni kwamba huyu binti anatumika ku rescue hii situation la sivyo ningekwenda huko na huko kutafuta viruka njia ambao wangeniweka mahali pabaya zaidi. Tumeanza mahusiano vizuri na tunaendelea kiasi kwamba hata wife asipokuwa tayari mwezi mzima sipati shida na hii imenisaidia kuepuka ugomvi uliokuwa unatokana na tendo la ndoa kutokuwa zuri. Cha ajabu hata kama mchezo tusipofanya na wife mwezi anaona mambo iko sawa maisha yanaendelea ni kucheka na kufurahi bila kujiuliza huyu mume anaishije?

Je wadau katika situation kama hiyo ambayo mke ana behave namna hii kwa ninachokifanya nimekosea au niko sawa. Kama unafikiri nimekosea nipe ushauri kuhusu njia mbadala na jiweke kwenye position yangu.

Kaka nimeipata hali yako hila kwenye mapenzi haswa ya wanandoa husimwamini mtu, kwanza kabisa huyo housegirl atakugeuka siku moja na kuonyesha mambo ya ajabu mbele ya mke wako kama vile kukubusu ama vitu vingine. Pili, jitahidi kumwangalia huyo housegirl wako make hipo siku akikombana na mke wako siku ya siku lazima watatupiana maneno mpaka hilo litatupiwa kwa mkeo kuwa hawezi mchezo. Wacha kabisaaa
 
Ila kusema ule ukweli mabeki 3 ni watamu balaa. Pia mapenzi ya kuiba ni matamu balaa. Nakuonea huruma siku utakayokutwa na mamsapu wako. Ujue ndio mwisho wa ndoa yenu. Unapofanya hivyo ufikirie na watoto pia. Ikitokea soo limeibuka ni nini utakuwa mwisho wao? Nakutakia maisha mema katika ndoa yako mpya tarajiwa.
 
Back
Top Bottom