Nimeamua kujinyonga, kwaherini wana JF

Nimejaribu kutafakari baba mzazi anawezaje kumlawiti mwanae?
Sidhani kama mama mzazi anaweza kuingiliwa kimwili na mwanae!
Hee hii dunia ina mambo ,hivi hujaskia kuna jamaa amezaa na mama yake mzazi na anaishi nae kama mke na mume na mama anasema/anajisifu hajawahi pata mwanaume kama mtoto wake ,hii sijui ilikua Mtwara au Lindi sina kumbukumbu sahihi
 
Mhhhhhh kweli dunia imevaa sketi!
Sijawahi sikia na bora sikusikia huo ufirauni!
 
Msalimie Baba wa taifa mwalimu nyerere mwambie kuwa Tanzania imekuwa shamba la bibi mzee wa msoga amelivuna mpaka kachoka....

Pia naheshimu sana sana uamuzi wako kama wa Jecha na ninataman ungekuwa jecha
 
Kwa hiyo teyari amesha kufa au bado??

Hapana dadaa, karuka kamba yake. Kumbe alikuwa anatafuta msaada baada ya kukataliwa na watu wote pale mtaani kwetu. Sasa, kasema kaokoka na huo mchezo hafanyiwi tena. Hata weye amekushukuru kwa kumchangia mawazo
 
Hee hii dunia ina mambo ,hivi hujaskia kuna jamaa amezaa na mama yake mzazi na anaishi nae kama mke na mume na mama anasema/anajisifu hajawahi pata mwanaume kama mtoto wake ,hii sijui ilikua Mtwara au Lindi sina kumbukumbu sahihi
Ilitokea songea mkuu
 
Back
Top Bottom