Nimeamua kujinyonga, kwaherini wana JF

The wackal

Member
Jul 1, 2011
64
24
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 35. Kwetu nimezaliwa peke yangu. Nilipokuwa na miaka mitano mama yangu mzazi alifariki.

Nyumbani tukabaki mimi na baba tu, baada ya muda kidogo baba alianza tabia ya kunilawiti kila siku, mwanzoni niliumia sana lakini baadae nilifurahia hali hiyo na nilikuwa saa zingine nakumbushia mwenyewe kutokana na kuwa na muwasho ambao nikifanya natulia.

Hali hiyo imepelekea mimi kuwa shoga. Ninachukiwa sana hapa mtaani na watu kwa sababu ya ushoga wangu, nimenusurika kuuawa mara mbili kwasababu hiyo. Hakuna sehemu ninayopendwa, nimekata shauri kujimaliza usiku huu wa leo.

Nimeshanunua sumu ya panya ili kutimiza hilo na naandika huu ujumbe nikiwa guest house moja hivi maeneo ya DSM.

Nawaomba msamaha wale wote niliowakosea humu ndani hasa tatty, kwaherini wapendwa wote, tutaonana ahera.

Kwaherini nyote.
 
Ulishawah kwend kwa Dr kuangalia kma ana ushauri wwte au namna yyte y kuwez kukusaidia?
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 35. Kwetu nimezaliwa peke yangu. Nilipokuwa na miaka mitano mama yangu mzazi alifariki.
Nyumbani tukabaki mimi na baba tuu, baada ya muda kidogo baba alianza tabia ya kunilawiti kila siku, mwanzoni niliumia sana lakini baadae nilifurahia hali hiyo na nilikuwa saa zingine nakumbushia mwenyewe kutokana na kuwa na muwasho ambao akiniingiza dudu unatulia.
Hali hiyo imepelekea mimi kuwa shoga. Ninachukiwa sana hapa mtaani na watu kwa sababu ya ushoga wangu, nimenusurika kuuawa mara mbili kwa sababu hiyo. Hakuna sehemu ninayopendwa, nimekata shauri kujimaliza usiku huu wa leo. Nimeshanunua sumu ya panya ili kutimiza hilo na naandika huu ujumbe nikiwa guest house moja hivi maeneo ya Dsm.
Nawaomba msamaha wale wote niliowakosea humu ndani hasa tatty, kwa herini wapendwa wote, tutaonana ahera.
Kwa herini nyote.

There is always the way, and haikua chaguo lako kuwa hivyo. Don't take that decision
 
Last edited by a moderator:
HALI ILIYOKUTOKEZEA UTOTONI INAWAKUMBA WENGI TUU KUHARIBIWA NA WANA FAMILIA, BABA, MJOMBA, BAMDOGO, KAKA, RAFIKI WA BABA, JIRANI n.k.
KWA KWELI HALI ULIYOELEZEA INASIKITISHA SANA TENA SANA USIFANYE UAMUZI HUO ULIOFIKIA. MUNGU HAJAKWAMBIA KUWA JITOE ROHO YAKO MIMI SIKUTAKI.
NINALOKUSHAURI UHAME SEHEMU UNAYOISHI NA UENDE SEHEMU NYENGINE AMBAYO HAWAKUJUI KABISA NA UBADILISHE TABIA KUWA MWANAMME WA KAWAIDA NA JITAHIDI KUEPUKANA NA HIVYO VITENDO NA KUANZA MAISHA MAPYA YA KUWA NA MKE.
 
Huyu mtu ana tatizo kubwa sema kasummerize ili ionekane ni joke.. Wewe kiumbe kama bado ujafa na unapita humu tutafute psychologist tuseme nawe hilo lako dogo wenzio wanawaua binadamu wenzao kila siku na bado Mungu anawapa pumzi, akinyeshea mvua kwa wema na wao anawapa!! Come to your senses and give yourself second chance
 
Back
Top Bottom