PAUL MWINAMILA
Member
- Sep 27, 2017
- 25
- 21
Kanisa ni jumuiya Ya kibinadamu iliyotengenezwa na Mwanadamu mahususi kupeleka injili, kwa wasio amini, Kanisa kiroho ni wewe Mwenyewe uliyempokea Yesu, hivyo kasoro mbali mbali ndani ya Kanisa zisikufanye u doubt uwepo wa Mungu, biblia ni kitabu cha kweli, Yesu ni kweli