Nimeamini ugomvi ni sehemu ya maisha ya ndoa/mahusiano

Natumai hamjambo wakuu.

Jana nikiwa nimerejea toka kazini tukawa tunapiga stori na wife aliniuliza "hivi mume tumewezaje kumaliza wiki ya 3 sasa bila kukwazana? wakati mara nyingi hata wiki hua hatumalizi? nikamuuliza umemiss kukwazana?

Akajibu hapana but nimeshangazwa na hili coz huko nyuma japo huwa tunaweka maazimio yakutokwazana na kujitahidi kujizuia but hutokea tu tena ndani ya mda mfupi" tukacheka kidogo then nikamwambia kukwazana pia ni sehemu ya maisha.

Sasa wakuu nachojiuliza je kwa nini ni ngumu sana kujizuia na kukwazana katika ndoa/mahusiano na unapopita mda mrefu kidogo bila kukwazana kila mtu hushangazwa na hali hiyo?
Ugomvi usio na maana ni lack of maturity
 
Wagombanao ndo wapendanao.
Mwanamke anapenda kufokewa fokewa .
Kuna wakati naanzisha tu ugomvi maneno.
Mara nimenuna,gubu ili mradi tu kuwe na attention.
Ila sio ugomvi wa kupigana
 
dalili za ndoa inayokumbwa na huyu mdudu ni zipi mkuu?
1.Mke kuwa bitter bila sababu za msingi, anakuchukia ukiwa karibu nae na kukumiss ukiwa mbali.

2.Kukosa hamu ya kusex na wewe esp. sababu anakuwa hisia kabisa na wewe.

3.Kupata michubuko during penetration japo unafeel ana ute kabisa wakati unamuingilia.

4.Ugomvi usio na maana kila uchao unaoambatana na kunyimwa tunda.

5.Mambo yako ya kiuchumi kuwa hayaendi au mipango kuvurugika at the last points before kukamilika.
 
Natumai hamjambo wakuu.

Jana nikiwa nimerejea toka kazini tukawa tunapiga stori na wife aliniuliza "hivi mume tumewezaje kumaliza wiki ya 3 sasa bila kukwazana? wakati mara nyingi hata wiki hua hatumalizi? nikamuuliza umemiss kukwazana?

Akajibu hapana but nimeshangazwa na hili coz huko nyuma japo huwa tunaweka maazimio yakutokwazana na kujitahidi kujizuia but hutokea tu tena ndani ya mda mfupi" tukacheka kidogo then nikamwambia kukwazana pia ni sehemu ya maisha.

Sasa wakuu nachojiuliza je kwa nini ni ngumu sana kujizuia na kukwazana katika ndoa/mahusiano na unapopita mda mrefu kidogo bila kukwazana kila mtu hushangazwa na hali hiyo?
Asante sana kwa kura yako! Jpm 5 tena!
 
1.Mke kuwa bitter bila sababu za msingi, anakuchukia ukiwa karibu nae na kukumiss ukiwa mbali.

2.Kukosa hamu ya kusex na wewe esp. sababu anakuwa hisia kabisa na wewe.

3.Kupata michubuko during penetration japo unafeel ana ute kabisa wakati unamuingilia.

4.Ugomvi usio na maana kila uchao unaoambatana na kunyimwa tunda.

5.Mambo yako ya kiuchumi kuwa hayaendi au mipango kuvurugika at the last points before kukamilika.
ahsante kwa ufafanuzi mkuu, nadhani ugomvi wetu ni wakawaida maana dalili hizi sijawahi ziona
 
Kawaida maisha hayakosagi misukosuko,huwezi kuwa mzuri kwa mwenzio muda wote.Lazima mtazinguana tu.
 
Sasa kama ni hivo mnaoana Ili iweje Yani wiki tu mkwazane mtakuwa na shida mahali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom