Nimeamini ugomvi ni sehemu ya maisha ya ndoa/mahusiano

kukwaruzana ni kawaida sana, unaoa mwanamke unamkuta na tabia zake, na ww anakukuta na tabia zko, hapo ndo maana halis ya Ndoa, kuvumiliana matatizo ya kila mmoja, ...
Hakuna raha kama mmegombana then baadae mnaamishia hasira kwa ground...aisee hapo game itapigwa mpaka raha.
after ugomvi show hua lina noga sana
 
Duu yani nakushangaa yani kipigo kwako nikawaida , kama kweli unachezea kipigo kutoka kwa mwenzi wako kaa jitafakari.
Alafu mbona mm sichezei kipigo lakini hata maswala ya kupigana siyapendi huwa napenda peace muda wote niliyo yaongea hapo ni maoni tu usichukulie ndio real life yangu.
 
Alafu mbona mm sichezei kipigo lakini hata maswala ya kupigana siyapendi huwa napenda peace muda wote niliyo yaongea hapo ni maoni tu usichukulie ndio real life yangu.
Whetever the case kipigo hapana, sasa kama mtu unaelewa huwezi kutoa mchango wa kipigo ni kawaida 🤗🤗🤗
Nway ni vizur kama you live in peace na usikariri kwamba kupendwa au kupendana ni mpaka muwe mnakwanzana , pigana and stuff like that.
 
Whetever the case kipigo hapana, sasa kama mtu unaelewa huwezi kutoa mchango wa kipigo ni kawaida
Nway ni vizur kama you live in peace na usikariri kwamba kupendwa au kupendana ni mpaka muwe mnakwanzana , pigana and stuff like that.
Kukwazana ipo sana kuna muda unampiga mtu anakujibu ovyo wala hataki kabisa kuongea au unamuuliza kitu fulani anakujibu mbovu kwani ww hizi hukutani nazo?
 
Natumai hamjambo wakuu.

Jana nikiwa nimerejea toka kazini tukawa tunapiga stori na wife aliniuliza "hivi mume tumewezaje kumaliza wiki ya 3 sasa bila kukwazana? wakati mara nyingi hata wiki hua hatumalizi? nikamuuliza umemiss kukwazana?

Akajibu hapana but nimeshangazwa na hili coz huko nyuma japo huwa tunaweka maazimio yakutokwazana na kujitahidi kujizuia but hutokea tu tena ndani ya mda mfupi" tukacheka kidogo then nikamwambia kukwazana pia ni sehemu ya maisha.

Sasa wakuu nachojiuliza je kwa nini ni ngumu sana kujizuia na kukwazana katika ndoa/mahusiano na unapopita mda mrefu kidogo bila kukwazana kila mtu hushangazwa na hali hiyo?
vipi ndio mwisho wa uzi mkuu?
 
Vp siku kama ukapewa kipigo itakuwaje?
Ntavunja uhusiano, maana ukiendelea atazoea kukupiga na mwisho inaweza kuleta madhara makubwa.

Sisi wote ni watu wazima kwanini tusikae chini tukazungumza tukarekebisha mpaka tufike kupigana, kama tumeshindwana kwanini tuendelee kuwa pamoja si tuachane tu kwa kheri.
 
Hapo ndio umependa sasa alafu siku hiyo umekula kipigo alafu baadaye anakuomba msamaha utamkubalia au utakataa kuendelea naye?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom