- Thread starter
- #41
after ugomvi show hua lina noga sanakukwaruzana ni kawaida sana, unaoa mwanamke unamkuta na tabia zake, na ww anakukuta na tabia zko, hapo ndo maana halis ya Ndoa, kuvumiliana matatizo ya kila mmoja, ...
Hakuna raha kama mmegombana then baadae mnaamishia hasira kwa ground...aisee hapo game itapigwa mpaka raha.