mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,607
- 1,596
Wewe ni moja ya matapeli na washamba wakubwa wa hapa town Dar ambae unashinda kujipodoa na ma cream huko kwako uliko li ung'ae.DAR-Mji ambao watu wake wanang'ara na wenye afya,bandari ya amani,wenye kipato cha juu,mabinti warembo,magari kibao, magari ya mwendo kasi,meli,treni zenu za mikoani zinaanzia hapa,daraja la kigamboni,barabara safi,ndege za kimataifa. Njoo haraka mkuu, mpauko utakutoka,hautawindwa kukatwa na mapanga,maji safi yapo sio yale ya ramboni,hautashindia michembe,mbege mpaka kukosa nguvu za kiume,wanzuki,kichuri,ugali uliokomaa,njaa za mara kwa mara za mikoani,uchawi na ushirikina,kuchuna ngozi,kusaka maalbino,kuua vikongwe na kula mizizi.
Wajanja wote hapa town wamewekeza mikoani kwenye investiment mbalimbali kama kilimo, migodi, majengo, usafirishaji, utalii n.k.
Unaona raha kutembea na kushinda town huku una kitu mfukoni na unaishi kwa kupiga mizinga wenzako waliowekeza mikoani.
Acha ushamba wewe, kumbuka msemo "ukitaka mali utaipata shambani".