Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,486
34,789
Mji wa dar unakua kwa spidi kali sana kupita miji mingine hapa tanzania Hususani Mwanza na Arusha ambayo ndo miji mingine inayoonyesha kuwa na nguvu ya ukuaji....mfano dar imezidi Mwanza karbia seven times, inashangaza sana hii ni tofauti na kwa wenzetu, ukichukua miji ya Dallas, Las vegas, Los angels, Washington na Chicago kule USA, Au Tokyo, Osaka, Sapporo na Yokohama kule Japani haijaachana kwa gape kubwa kama hapa tz.. yaani ukitoka dar na kwenda miji mingine unahsi kama upo kwenye kichuguu dah...Karbuni wadau kwa maoni yenu

Dar es salaam

27594844930_f5e2fd7367_b.jpg

26890668795_829d11b4c5_b.jpg

27628992621_3bbd368695_b.jpg

27594844930_f5e2fd7367_b.jpg

20160515_123150_HDR_zpsfevuv2pa.jpg

ARUSHA
13464967984_71c6603253_b.jpg

13464624975_ccaa4f27b9_b.jpg

13464743353_20b18c1867_b.jpg

01TN11-IM1001-arusha-1475.jpg

02TN11-IM1002-arusha-1475.jpg

13614993_250022742057106_4217301883552215442_n.jpg

MWANZA
13627224_248880018838045_9057147007751071277_n.jpg

1421084_1495584730689864_6794511050079062732_o.jpg

b2_zpswx5jzikk.jpg

13620313_248879982171382_2371139207407595817_n.jpg

b3_zpsim9jqv5i.jpg

b1_zpsk79fpwwc.jpg
 
Mji wa dar unakua kwa spidi kali sana kupita miji mingine hapa tanzania Hususani Mwanza na Arusha ambayo ndo miji mingine inayoonyesha kuwa na nguvu ya ukuaji....mfano dar imezidi Mwanza karbia seven times, inashangaza sana hii ni tofauti na kwa wenzetu, ukichukua miji ya Dallas, Las vegas, Los angels, Washington na Chicago kule USA, Au Tokyo, Osaka, Sapporo na Yokohama kule Japani haijaachana kwa gape kubwa kama hapa tz.. yaani ukitoka dar na kwenda miji mingine unahsi kama upo kwenye kichuguu dah...Karbuni wadau kwa maoni yenu

Dar es salaam

27594844930_f5e2fd7367_b.jpg

26890668795_829d11b4c5_b.jpg

27628992621_3bbd368695_b.jpg

27594844930_f5e2fd7367_b.jpg

20160515_123150_HDR_zpsfevuv2pa.jpg

ARUSHA
13464967984_71c6603253_b.jpg

13464624975_ccaa4f27b9_b.jpg

13464743353_20b18c1867_b.jpg

01TN11-IM1001-arusha-1475.jpg

02TN11-IM1002-arusha-1475.jpg

MWANZA
13627224_248880018838045_9057147007751071277_n.jpg

1421084_1495584730689864_6794511050079062732_o.jpg

b2_zpswx5jzikk.jpg
Karibu Dar,mji mchafu kuanzia mabati ya nyumba hadi watu wenyewe.We mwenzetu umetoka pori gani?
 
Kumbe ulikuwa hujui mkuu? maisha yangu naishi Dar basi kama wiki 3 zimepita nikaamua kufanya matembezi kidogo kuvuta swaumu yangu,nikaondokea daraja jipya mpaka kigamboni nikaenda mpaka mji mwema kuingia Kibada mpaka tuangoma na kongowe halafu nikaelekea Rufiji,ebwana kutoka pale kigamboni mpaka kongowe lile eneo watu wamejenga simchezo ,yaani ukitazama pale tu ni zaidi ya mikoa kibao kama mikoa ya Geita ,Singida na mikoa mingi haifiki uzuri ukubwa hata wingi wa majengo ya kisasa,naamini hata hawa kutwa wanawasema wanaume wa Dar ndoto zao kuja kuishi Dar tu
 
Hongera sana kwa picha! Ila akija mgeni hapa Tz akaomba umpe kirefu au maana ya neno "Dar les salaam" utamuambiaje?
 
watu wa Mapolini watakuja na hadithi zao za oooooohh mara sijui chips mayai oooh supu ya pweza sijui wanaume wa Dar hatuna nguvu za kiume sijui panya rodi wamefanya nini mara tunakula mahindi na ndimu yani watu wa vijijini mapolini wana shida sana na maneno ya uongo ongo

Wanaume wa Dar bwana! una jihami?

Uzuri kila ulichokieleza hapo ndio mambo yenu hayo. Ila likizo lazima mrudi huku maporini kuvuta hewa safi.
 
Mwanza ni mji ambao ungepata wajenzi wazuri hakika ungekuwa mzuri

Yap nimeona kweli Mwanza inaelekea kuwa na vurugu kama za dsm watu wanajenga sana ila miradi mikubwa ni michache sana...Arusha kuna uwekezaji walau mkubwa kidogo ila dah hakuna zile harakati za kimjini kabisa dk mbili ushaingia msituni
 
watu wa Mapolini watakuja na hadithi zao za oooooohh mara sijui chips mayai oooh supu ya pweza sijui wanaume wa Dar hatuna nguvu za kiume sijui panya rodi wamefanya nini mara tunakula mahindi na ndimu yani watu wa vijijini mapolini wana shida sana na maneno ya uongo ongo

mkuu juzi nilienda iringa...ile nafika tu nikakutana na vumbi, bardi na watu wa kule kama wamekata tamaa na maisha, nilihsi kama npo kuzimu, nikajtahdi kumaliza kaz zangu nikarudi Dar es salaam fasta, nadhani hata ishu ya mitumba wangeipiga stop tu kwa dsm ila kwingine watawatesa sana, mana tutastukia watu wanavaa magome ya miti hapa
 
Back
Top Bottom