Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,801
Hiyo ni kweli,sasa ili wasitulazimishe cha kufanya ni kumalizana nao kwenye nusu yao huko huko,marufuku kabisa kuwasubiri waje kwenye zone ya simba afu ndo waanze kukaba ni hatari sana..watakuja na mbinu mbadala ya kupiga fly over hapa sasa ndo kibu d na kina kapombe na zimbwe na mwenzie saidoo wanapotakiwa kuwa sharp kuziba flanks,ili wasipite.Nina wasiwasi wale warabu watatulazimisha tufanye makosa wenyewe yatakayotugharimu either Red card au Penalty.
CAF kugumu sana kumejaa majabali ya Africa tofauti na kule ndondo cup.