tracy wa NJIRO
Member
- Feb 14, 2012
- 71
- 8
wanaume nyieeeee dameeeeee aaaaa
Hongera utapata kidumu kipya soonwanaume nyieeeee dameeeeee aaaaa
mbona wanaume wazuri sana...? hawana tatizo lolote.........
kwani imekuwaje......?
Pole mkuu
aliekwambia uwe nae mmoja nani?
Una akili sana wewe! Yaani ukiwapanga hawakupi stress hata moja,hehehe!
Happy valentino aisee!
wanaume hawaangailiiuzuriii na figa yangu naurembo nimeachika
Pole mkuu
aliekwambia uwe nae mmoja nani?
yaani hivyo huwa vinawadanganya nyiee mpaka huruma!!there is more than uzuri wa figa na sura dadangu(hivi vyote huharibika wakati wa kutumiwa.......lol)!
Kweli kabisa uzuri huuisha na figa huharibika mara moja