nimeachikasiku ya valentine

mbona wanaume wazuri sana...? hawana tatizo lolote.........
kwani imekuwaje......?
 
au ulijaribu kuwapanga panga?maana wengine akikushtukia baada ya uchunguzi wa kimyakimya basi utapigwa chini ghafla tu siku ambayo hasira yake imemtuma!pole sana mdada,
 
Kuachika ndio nini? sema umeachwa. Hoyaa, ni PM nikakufariji, halafu tutembelee sehemu hizo hizo anazopenda kwenda mshikaji. usijali michuzi ya matumbuzi juu yangu. Bongo Bingo.
 
yaani hivyo huwa vinawadanganya nyiee mpaka huruma!!there is more than uzuri wa figa na sura dadangu(hivi vyote huharibika wakati wa kutumiwa.......lol)!

Kweli kabisa uzuri huuisha na figa huharibika mara moja
 
Kweli kabisa uzuri huuisha na figa huharibika mara moja

wangekuwa wanajua!maana hata katika kutafuta mahusiano ya kudumu,hivi sio vigezo vya msingi kabisa.ni nyongeza tu ya kile mtu anahitaji kwa uhusiano wa muda mrefu
 
Pumzisha roho yako itulie, uchague baada ya valentine atarudi labda ulikua unambana...wacha siku ya Leo ipite.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom