Nimeachana naye, najisikia faraja sana

Google Diggers

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
940
1,123
Huyu mwanadamu ni nyoka.

Alinipendaga sana. Tukatoka sana tulibary Sana na kula bata na kudingana, mwenzie mie nikizama na yeye alioza.

Wkt yeye akielezea Siri za ndani za Mr wake nikamuon hee huyu vipi ....? Mumewe ni ugonjwa na hali ya uchumi ya familia na kwakweli sikupendezewa na tabia yake.

sikupenda kuwa wazi kwake akaaza kuja na mpira yaani ndomu, na wakati mwingine hurudi nazo. Kwa mwanamke si poa Ile aibu ya kike ni muhimu sana.

Siku na miezi ilisonga nilijitahidi sana kuvunja mahusiano. Hatimaye nina amani kuachana na mtu tusiyostahili kuwa na mahusiano. Ni mke wa mtu na mimi bado ni under 30.

Tunakaa muda bila mawasiliano na hudai anamuhudumia mzee wake mumewe.

Jamani wanawake baadhi wenye haya majambo badilikeni.
 
kumbe alikuwa ni mke wa mtu? kuna watu hii dunia wanaichukulia ni ya kwai aiseee we matukio yote aya unayoyasikia kila kukicha watu wanachinjana na wewe unajisogeza uko uko?
Watu wanakaza tu mafuvu, nasubiri tu habari za kupigwa chuma labda wataelewa wakiwa mavumbini.
 
Alielewa msaada tafadhali.
Mleta mada huzini na mke wa mwingine.

Anafarijika kumwacha mke huyo wa wenyewe aliyetingwa kumuuguza mumewe.

Bibie huyu pia humshirikisha siri za ndoa yake na mumewe kitu ambacho mleta mada hafurahii.

Mleta mada amemhukumu mke huyu wa mzee mgonjwa kuwa nyoka wakati yeye akijichukulia malaika na asiye na hatia.

Amemalizia kwa kuwasihi wanawake msimuige mwenzenu.

Kiswahili kigumu sana aisee. 😁
 
Shukrani
 
Back
Top Bottom