Nimeacha kuishabikia Arsenal

Mkuu ngongo bado umeacha kuishabikia arsenal?
Au umebadili mawazo,hauwezi kula muwa pasipo kukuta fundo,hata kwenye maisha ukiwa dhaifu hivo safari yako haiwezi kuwa salama,tupendane kwa shida na raha bana..maana kila kitabu na zama zake..
 
Alitangaza kuhamia Chelsea, sasa sijui kama hajafa kwa pressure aisee!!
 
Ushabiki wa mpira sio kama kuvaa nguo kila siku unabadili nimeanza kushabikia toka 2001 sitorudi nyuma. Vaa kiatu cha shabiki wa man u au Chelsea.
 
Sasa hiv umehamia wapi maana kipind cha moyes hata uefa hawakucheza au umehamia LC?
 
Utakuwa co shabiki wa kweli
Kamwe siwez acha ipenda Arsenal haijalishi mwelekeo wetu ukoje
etii eeee mke akiwa hazaii anaachwa? wkt kila kitu ancho burudani ipooo kisa mtoto tuuuu haiwezekan
 
ngoja kwaza nikaangalie watoto wa wenga wanavyoskata huwa wananipa rahaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom