Niliyowahi kuyatabiri kuhusu wafanyakazi wa Bandari naona yanaanza kutimia

Mwaka jana Baada ya Dp kupewa Bandari tu nilianza kuwatahadharisha wafanyakazi wa Bandari wajiandae kisaikolojia kuwa Dp World anaweza akaja na wafanyakazi wake na wengi wakakosa ajira pale


Nliyoyasema yameanza kutimia baada ya jana kuzipata Tetesi kuwa Tayari Dp kashaanza kuuwasha moto kuwa anakuja na wafanyakazi wake hivyo hahitaji wafanyakazi wa hapo Tpa maana yake , ataajiri watu wake yeye kama yeye, Naskia wafanyakazi hapo Dar port wamechanganyikiwa
Kiuhalisia hilo halikwepeki kama wawekezaji wanatumia teknolojia ya kisasa inapunguza Sana nguvu kazi ya watu halisi
 
Back
Top Bottom