Niliyowahi kuyatabiri kuhusu wafanyakazi wa Bandari naona yanaanza kutimia

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
Mwaka jana Baada ya Dp kupewa Bandari tu nilianza kuwatahadharisha wafanyakazi wa Bandari wajiandae kisaikolojia kuwa Dp World anaweza akaja na wafanyakazi wake na wengi wakakosa ajira pale

Nliyoyasema yameanza kutimia baada ya jana kuzipata Tetesi kuwa Tayari Dp kashaanza kuuwasha moto kuwa anakuja na wafanyakazi wake hivyo hahitaji wafanyakazi wa hapo Tpa maana yake , ataajiri watu wake yeye kama yeye, Naskia wafanyakazi hapo Dar port wamechanganyikiwa
 
Sio hao tu, hata walio ipigia DP W debe wataanza kuchanganyikiwa.
Asante Mbarawa.
 
Mwaka jana Baada ya Dp kupewa Bandari tu nilianza kuwatahadharisha wafanyakazi wa Bandari wajiandae kisaikolojia kuwa Dp World anaweza akaja na wafanyakazi wake na wengi wakakosa ajira pale

Nliyoyasema yameanza kutimia baada ya jana kuzipata Tetesi kuwa Tayari Dp kashaanza kuuwasha moto kuwa anakuja na wafanyakazi wake hivyo hahitaji wafanyakazi wa hapo Tpa maana yake , ataajiri watu wake yeye kama yeye, Naskia wafanyakazi hapo Dar port wamechanganyikiwa
Anaajiri wafanyakazi wake kutokea wapi ?
 
Kwanza sheria ya nchi hairuhusu nahisi sheria imesema ni watu kumi tu wa juu kama sijakosea, acheni uzushi na nchi yetu
 
Jamani hivi hixi habari zinatola wapi? Mbona huko bandari hao wafanyakazi waajiriwa wanaendelea na training toka kwa hoyo DPW?
 
Hata mi sielewi nimemchek jamaa anasema hata yeye ndio anasikia sasa.
 
Hata hiyo jana waliyokua wanadai kuna mgomo nikabaki najiuliza. Nadhani mbali na masuala mengineyo, kuna kikundi maalumu cha propaganda kuhusu hali ya bandari na sijui dhumuni ni nini hasa. Nadhani kuna watu wanabeba hizo propaganda pasipo kujua ili mradi anaona limesambaa nae anasambaza.
 
Sasa unadhani hii dunia ya sasa ya automation ulitegemea nini kama sio kupunguza watu....

Ndio maana binafsi nilisema tangia mwanzo tuwekeze kwenye hizo machinery tubaki na 100 percent ili iweze kusaidia katika nyanja nyingine...
 
Back
Top Bottom