Kwa hiyo hilo ndo Muhimu, usiku unaulizia fundi akupe dawa ya kuvuta Mwanamke.Mkuu huyo fundi ni wa kweli? Isije kuwa hawa wazee wa kujipigia promo kila uchwao.
Kingine, mkuu jitahidi sana uachane na masuala ya kubet.
Hata Mimi siwezi kukushauri uache kubeti !! Mimi nimekua hapo dutwa kwa muda mrefu ! Kribia hela yangu ya kuishi hapo Kama kula na kulipia chumba ilikua unatokana na betingWewe ni member, hauwezi kunishauri kutoka kwenye kundi.
Tataendelea kukutana kule kwenye uzi wetu wa mikeka.
Wamekimbilia kakola NyamishegaDutwa sikuhizi hakuna watu wengi.
That ending , as they say : Profit is made when you buy, not when you sale.Kikubwa ni location tu mkuu, kwasababu wali unaouzwa 1000 hapa ndo huohuo unaoenda kuuzwa 3000 sehemu nyingine na watu watakula bila kuhoji.
Kingine ukipata chimbo la kununua vitu kwa bei ya chini (jumla), unakuta samaki umemnunua 5000 halafu mwingine kamnunnua 7000 kisha wote mnenda kumuuza 12K huyu aliyenunua bei ndogo ni lazima apae tu, au wakati mwingine wewe unaamua kuuza 11k kwajili ya ushindani wa biashara na bado unabaki na faida kuliko anaeuza bei kubwa.
Biashara ni jinsi unavyonunua na sio jinsi unavyouza.
ana betKwahiyo hiyo 17m saivi unaizungusha kwenye nini
Bora wee unasema ukweliHilo lipo wazi sina hata muda wa kukana hapa, ni lazima tuelezane ukweli tu kisha mtu achague mwenyewe.
Kule wakati wa mvua ni mwendo wa gambuti tu hata kama hutaki maana ardhi ni ya ufinyanzi, namba mbili ilikuwa na mzunguko wa pesa ila nilivyokosa nafasi nikaamua kubaki namba moja tu.Dah,nilikuwepo Dutwa mgodi ulivyolipuka ilikuwa Ni mwendo wa Magambuti. Nimekaa namba moja na like nyomi la watu. Mishe zangu hasa nilikuwa nafanyia namba mbili Ila Pesa ilivyopotea nikaondoka.
To be honest nilitulia kwanza hii miezi miwili, ila kutokana na uzoefu nilioupata kwenye biashara ya Resturant tayari nimeshalipia eneo fulani potential sana (karibu na stend) huko IGOMBE na natarajia kuanza mwezi wa saba.Kwahiyo hiyo 17m saivi unaizungusha kwenye nini
Kuna muda unaanzisha kitu fulani ukiwa na matarajio ya kawaida ila faida unayopata inakuacha mdomo wazi, mimi sikuwahi kujua kama watu wenye migahawa wanapata faida na nilikuwa naidharau sana hiyo biashara.Hongera sana mkuu ,biashara ni upepo mi kuna kipindi nilifungua biashara ya mgahawa nikiangalia location iko poa ila hela hamna ,duh mwisho wa siku nikaacha.
Sasa miaka ya karibuni kuna biashara moja halali upepo uliniendea ndani ya miezi miwili nilipata mil 16 ,nikaenda kutoa sadaka ya shukrani mil 1.
Baada ya hapo naendelea ila upepo sio kama wa mwanzo haipipi kabisa ,mara upepo unakuja tena gafla ila sifikii hata nusu ya niliyooteaga. But pia sometimes nahisi mtu ukianza kupata hela unaweza kupunguza ufanisi kwenye kazi na faida kushuka au unawaza mambo mengine makubwa kwa wakati mmoja hadi unafeli kwenye kile ulichofanikiwa.
Hongera Kwa uthubutu, maisha muda mwingi yanataka watu watendaji kitu ambacho watu wengi hatuna.Kuna muda unaanzisha kitu fulani ukiwa na matarajio ya kawaida ila faida unayopata inakuacha mdomo wazi, mimi sikuwahi kujua kama watu wenye migahawa wanapata faida na nilikuwa naidharau sana hiyo biashara.
Hongera mkuuTo be honest nilitulia kwanza hii miezi miwili, ila kutokana na uzoefu nilioupata kwenye biashara ya Resturant tayari nimeshalipia eneo fulani potential sana (karibu na stend) huko IGOMBE na natarajia kuanza mwezi wa saba.