Nilichokutana nacho jana Temeke sina imani na wanawake wa Dar

Miaka ya 2010, goli moja ilikuwa buku, sasa imepanda hadi buku 2, na wana mlinzi wao wa kimasai. Ukizingua kulipa baada ya kuhudumiwa unadhibitiwa naye. Wengine Kama wale wapo tandika sokon kwenye uchochoro hivyohivyo. Huduma Zao Ni Nzuri Pia.

haha ukiuliza sababu ya gharama kupanda watakwambia dollar imepanda
 
aaa kumbe ulikuwa hupajui ....mbona wako kigambini, temeke hapo na mwanyamala sijui pia naskia
 
hahahaha mjomba ungeingia tuu uthibitishe bhana unawaonea tuu...waliuwa wanapunga uupepo tuu we umevamia njia yao
 
Hop mko okay na weekend, na wale tuliona kazi zisizo na weekend natumaini tunaendelea nazo vyema.

Ilikuwa na jana mida kama ya tisa hivi nikuwa pale temeke hospital nia yangu ilikuwa nielekee mitaa ya stand temeke mwisho, watu wakanielekeza nipite uchochoro mmoja uliopo upande wa pili wa barabara.

Niafiki nikaingia ule uchochoro ni finyu sana kana kwamba kupishana ni kwa shida nilitembea hatua kadhaa nikakuta katika ule uchochoro kuna vyumba vidogo vidogo pande zotevyenye milango ya nje. Karibia vyumba vyote vilikua wazi.

Nikavipita viwili vya mwanzo nikuta kuna wanawake warembo sana wakinitazama wakirembua macho kwa tabasamu. Nikajiuliza wananijua nikapunguza mwendo ile sinahili wala lile nikakutana na kifua kilichosheheni matiti malaini huku nikishawishiwa niingie ndani.

Huyu alikuwa ni mwanamke mwingine wa chumba chambele yake vyumba viko jirani sana Nilipigwa butwaa akili akasimama kufanya kazi nikajikuta kama niko nchi nyingine ya ndotoni kwa hali nilikuwa nayo pale..

Nilipatwa na mawazo mengi nikajua nataka kutapeliwa, kijivuta taratibu nikaachana na yule binti mrembo nikapita vyumba vya mbele nikakuta wote wananitazama kwa mahaba baada ya mda nikamaliza rule uchochoro nikakutana na bwana mmoja nikavunja ukimya nika mueleza yaliyo nikuta, hakushangaa akaniambia pale panaitwa kwa wahaya, wanawake wapo pale kutoa huduma ya ngono kwa wanaume kwa malipo.

Niishiwa nguvu nilipo sikia hivyo. Nikajiuliza mbona wale wanawake ni warembo hata ukikutana nao huwezi dhania kama wanafanya kazi hiyo. Hii imenipa wakati mgumii msilalamike ooh wanaume hatueleweki wa kuweza kuwaamini wanawake wa Dar.Uwezekano wa kupata mke wa kuoa dar ni mdogo mno kwa hali narudi kutafuta mke kijijini walai nawakilisha.

Kaka ebu toa direction vzr nipange kikosi changu tukafanye ambush hapo kwa wahaya japo ni watani zangu lkn kwa hili hapana!!
 
wewe acha kuharibu wale wanaitwa mabwenga huku mnyamala maarufu sana buku 2 goli moja kulala buku 7-10 kituo hospitali ya mnyamala ukiuliza tu umefika dsm commerce city bado tu kufungu onlinebiz na e commerce
 
Jina lako linaashiria ww ni mnyaru. Na wanyaru hawana tabia za kununua hizo bidhaa.
 
Kwa namna nchi inavyoendeshwa,tutakuja kuwa na nchi iliyokosa maadili na maambukizi ya magonjwa ya ngono na zinaa yakawa 100%. Kwa maisha namna yalivyo naona wazi kabisa kuwa ni kama maigizo!!
 
Du, jamaa umeshindwa kutumia fursa hiyo, mimi ningeingia, hapo buku 2, mshindo wangu mmoja safi, mwepesiiii ningekatisha kichochoro tena, nikaenda tigopesa ningetoa buku 2 nyingine ningerudim uchochoro uleule na kupiga mwingine.

Kisha ningesepa na safari zangu. ila elekeza vizuri, maana hawa wa sinza wameshatuzoea, wanatulaza sana kwenye mabox pale kwa babu bora hao wana vitanda.

Kijana waonekana una utaalam na hizi mambo
 
Back
Top Bottom