Nilichokiona WASAFI Festival ni tofauti na namna ilivyopromotiwa

WASAFI Festival ilikuwa ya kawaida sana tofauti na jinsi ilivyopewa promo na kundi ama wadau wa WASAFI. Ilikuwa kama show za kawaida ambazo zimekuwa zikifanywa na wasanii wa muziki hapa nchini. Nadhani tatizo kubwa ni kukosa wabunifu
Nakuunga mkono mkuu. Acha mashabiki watukane. Mimi ni timu Mond ila nilichokuwa nakichora kwenye akili yangu sio nilichokishuhudia. Nimeona kabisa pengo kubwa kati ya Fiesta na tamasha letu la wasafi.

Ila binafsi naamini bado wana muda wa kufanya vizuri zaidi ikizingatiwa ndo season yao ya kwanza!

Ila ukweli utatuweka huru bado haijafikia kiwango kizuri. Kuanzia stage yenyewe maandalizi yake, sound, wasanii hasa kuimba live, nk bado kwa kweli
 
Kote unaweza ukawa sawa, ila kwa TZ matamasha karibia yote Sound ni mbovu, isipokuwa tamasha la mwaka jana la Tusker (wasanii waliotumbuiza Future, Casper nyovest, Diamond platnumz) Sound waliyofunga wa South ilikuwa bora.
 
Nakuunga mkono mkuu. Acha mashabiki watukane. Mimi ni timu Mond ila nilichokuwa nakichora kwenye akili yangu sio nilichokishuhudia. Nimeona kabisa pengo kubwa kati ya Fiesta na tamasha letu la wasafi.

Ila binafsi naamini bado wana muda wa kufanya vizuri zaidi ikizingatiwa ndo season yao ya kwanza!

Ila ukweli utatuweka huru bado haijafikia kiwango kizuri. Kuanzia stage yenyewe maandalizi yake, sound, wasanii hasa kuimba live, nk bado kwa kweli
Mkuu kwani fiesta wana imba live wasanii huu mziki wetu haujawahi kuwa mzuri iyo
live ndo kabsa inakera acha waendelee kutumia play back
 
Nilichokiona Mond alipanda stejini bwiiii..hadi sarakasi sikuziona...show haina tofauti na ya Vee money and Jux
Diamond hanywi pombe sasa sijui alilewa nini ?

Sidhani kama mtu aliyelewa anaweza kupeform jukwaani Kwa masaa 2 tena saa moja Kwa live band
 
Jiandae kuporomoshewa mitusi na watoto wa jf coz ukweli hawaupendi, wamefunikwa na wingu zito la ushabiki. Kule insta naona Dada wa Taifa ashachafua hali ya hewa kuhusu umiliki wa share za mond ndani ya wcb. Kaweka document ya leseni ya TCRA watoto hawaamini wanatoa mapovu tu. Wanahubiri mapinduzi ya burudani kumbe ni mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya. Inanikumbusha mabadiliko ya UKAWA 2015 kuletwa na wazee wa CCM walioifisadi nchi zaidi ya miaka 40. Maajabu hayatoisha Afrika..
Wewe ni Me au Ke?
 
WASAFI Festival ilikuwa ya kawaida sana tofauti na jinsi ilivyopewa promo na kundi ama wadau wa WASAFI. Ilikuwa kama show za kawaida ambazo zimekuwa zikifanywa na wasanii wa muziki hapa nchini. Nadhani tatizo kubwa ni kukosa wabunifu
Kumbe ndio maana aliamua kuomba support toka kwa ALI KIBA!!!
 
Harmonise anaongea kimakonde mda wote....ni ujinga na upuuzi..sijui ni utoto...unaongea kilugha always mbele ya kadamnasi kama ile, mara aimbe nyimbo za luck dube...Kule mtwara hamna jipya...
Aseee
 
WASAFI Festival ilikuwa ya kawaida sana tofauti na jinsi ilivyopewa promo na kundi ama wadau wa WASAFI. Ilikuwa kama show za kawaida ambazo zimekuwa zikifanywa na wasanii wa muziki hapa nchini. Nadhani tatizo kubwa ni kukosa wabunifu
wivu wa kimaskini utakufanya uwe maskini, mwenzio akifanya vizuri mpe sifa zake na wewe pata maoungufu yao ili uwashinde. acha kudumza akili yako makusudi
 
WASAFI Festival ilikuwa ya kawaida sana tofauti na jinsi ilivyopewa promo na kundi ama wadau wa WASAFI. Ilikuwa kama show za kawaida ambazo zimekuwa zikifanywa na wasanii wa muziki hapa nchini. Nadhani tatizo kubwa ni kukosa wabunifu
Uvumilie matusi tu mkuu
 
Uko sahihi. Ila ujue huo ni mkakati wa wenzako kuvuta ''nyumbu'' wengi kadiri iwezekanavyo. Mtanzania ukitaka kula fedha yake tengeneza makundi mawili kwenye fani ya burudani/sanaa na ujifanya kama ya upinzani wa hali ya juu. Nakuhakikishia baada ya mwaka utakuta kila kundi limejaza ''nyumbu'' kibao na wewe utakuwa katikati ukitafuna ''nyama ya nyumbu'' upendavyo.
 
Harmonise anaongea kimakonde mda wote....ni ujinga na upuuzi..sijui ni utoto...unaongea kilugha always mbele ya kadamnasi kama ile, mara aimbe nyimbo za luck dube...Kule mtwara hamna jipya...
aisee
 
Back
Top Bottom