Nilichokiona WASAFI Festival ni tofauti na namna ilivyopromotiwa

Jiandae kuporomoshewa mitusi na watoto wa jf coz ukweli hawaupendi, wamefunikwa na wingu zito la ushabiki. Kule insta naona Dada wa Taifa ashachafua hali ya hewa kuhusu umiliki wa share za mond ndani ya wcb. Kaweka document ya leseni ya TCRA watoto hawaamini wanatoa mapovu tu. Wanahubiri mapinduzi ya burudani kumbe ni mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya. Inanikumbusha mabadiliko ya UKAWA 2015 kuletwa na wazee wa CCM walioifisadi nchi zaidi ya miaka 40. Maajabu hayatoisha Afrika..
 
Na wewe hauna akili muda wote kuleta umbea wa insta hapa Jf, sasa huyo mdada ndyo nani awe wa taifa
 
Jiandae kuporomoshewa mitusi na watoto wa jf coz ukweli hawaupendi, wamefunikwa na wingu zito la ushabiki. Kule insta naona Dada wa Taifa ashachafua hali ya hewa kuhusu umiliki wa share za mond ndani ya wcb. Kaweka document ya leseni ya TCRA watoto hawaamini wanatoa mapovu tu. Wanahubiri mapinduzi ya burudani kumbe ni mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya. Inanikumbusha mabadiliko ya UKAWA 2015 kuletwa na wazee wa CCM walioifisadi nchi zaidi ya miaka 40. Maajabu hayatoisha Afrika..
Mkuu utaambiwa huna rinda...
 
WASAFI Festival ilikuwa ya kawaida sana tofauti na jinsi ilivyopewa promo na kundi ama wadau wa WASAFI. Ilikuwa kama show za kawaida ambazo zimekuwa zikifanywa na wasanii wa muziki hapa nchini. Nadhani tatizo kubwa ni kukosa wabunifu
Eleza zaidi. "Ya kawaida" inakuaje...
 
Jiandae kuporomoshewa mitusi na watoto wa jf coz ukweli hawaupendi, wamefunikwa na wingu zito la ushabiki. Kule insta naona Dada wa Taifa ashachafua hali ya hewa kuhusu umiliki wa share za mond ndani ya wcb. Kaweka document ya leseni ya TCRA watoto hawaamini wanatoa mapovu tu. Wanahubiri mapinduzi ya burudani kumbe ni mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya. Inanikumbusha mabadiliko ya UKAWA 2015 kuletwa na wazee wa CCM walioifisadi nchi zaidi ya miaka 40. Maajabu hayatoisha Afrika..
Hivi inakuaje mtu mwenye akili timamu anamuamini huyu dada?
 
Back
Top Bottom