Nilichokikuta baada ya kupekua chumbani kwa dada wa kazi

Usalama wa familia uko mikononi mwa Baba au mama, kwanza nikupongeze kwa hatua hiyo.Naona hapa watu wanasema umeingilia uhuru sijui ni upi huo??!!Mara wengine wanasema usimwambie mke wako!!!Mkuu za kuambiwa changanya na zako.Hawa ma-house girl kuna story zao humu nyingi kuhusu vituko vyao.Sasa subiri siku ukikuta ameandaa ma.vi ili ayachanganye kwenye chakula.

asante kwa kunitia moyo
 
Wasubiri wote warudi, halafu anza hivi "jana nimeota soksi zangu ziko chumbani kwa dada tena chini ya uvungu" halafu me ndoto zangu zinakuaga kweli". Fanya hivyo wife na dada wote waskie

Hiloo vagi litakalozuka hapo baada ya ndoto kwisha teh teh! ni shida.
 
Ndio ukome upekuzi wa kijinga. ungekuta picha ya baba yako kamkumbatia mkeo au house girl wakiwa watupu bafuni ndio ungejua na maanisha nini. Tembelea machinjioni ndio utajua ubaya wa nyama vinginevyo potezea.
 
Hahahaha aisee acha nicheke manake hii ni bonge moja la mtihani, manake hapo ulipo mwenyewe kwanza..unawaza soksi zako kwanini ziko pale!! Pili..ukimwambia mama Chanja lazima atamind kwanza utaanza anzaje?, tatu..huyo dada wa kazi lazima Atakuona wack hatokuwa na Imani tena na wewe boss wake!!

ila fikiria kama angepekua my wyf wake na akakuta soksi za mumewe kwenye chumba cha House Girl,
 
sio kosa hapa ni mahali pa kubadilishana mawao uzoefu nk

Sasa si unaona mawazo yanavyokubadilikia? Hujaitendea haki "personal self". Hivi kwa mfano tuseme, unaweza ukatoka nje ya ndoa halafu ukaenda ukamweleza mkeo, kisa unataka kupata mawazo mbadala? Kuna mawazo mbadala mengine ambayo hamna namna ya kuweza kuayapata sehemu nyingine yeyote ile nje ya nafsi yako!
 
habari wana jf
leo jmos nimeshinda home kwangu wife na binti wangu wa kazi wakatoka kidogo nikajisikia leo nipekue chumbani kwa dada wa kazi cheki mabegi nk mpaka chini ya kitanda hii inaitwa intelijensia ya nyumbani du nikakuta dada ameficha soksi zangu nzuri chini ya kitanda chake tena ndani ya mkeka matambala machafu ya hedhi yaliyotumika kafundika mavunguni tena ya mda mrefu da kazi kweli kweli ila swala la soksi zangu tena nzuri kuficha chini ya kitanda ndo sikuelewa ni imani fulani au bahati mbaya nawaza nimshirikishe wife amsaidie huyu binti usafi wake ila najiuliza wife atanishushua nini kuwua nimeanzaje tabia ya kupekua pekua mawazo yenu wandugu

Nyie ndio mnaosachi hata pochi za wake zenu pambaf sana,
kesho nenda ukamchungulie akiwa anaoga halafu uje utueleze hapa.
 
Ndio ukome upekuzi wa kijinga. ungekuta picha ya baba yako kamkumbatia mkeo au house girl wakiwa watupu bafuni ndio ungejua na maanisha nini. Tembelea machinjioni ndio utajua ubaya wa nyama vinginevyo potezea.

Nimeipenda hii.
 
Soksi haina bei kaka, usimweleze mkeo ila kuwa makini na ushirikina na ukitaka kujua uwe na mbwa kwako au kwa jirani. Wakiwepo wanga tu mbwa watakuwa wanabweka sana usiku. Nilikuwa na hg mshirikina sasa nimejuwa why nilikuwa sidindi kwa mke wangu lakini kwake ilikuwa balaa.
 
Sasa si unaona mawazo yanavyokubadilikia? Hujaitendea haki "personal self". Hivi kwa mfano tuseme, unaweza ukatoka nje ya ndoa halafu ukaenda ukamweleza mkeo, kisa unataka kupata mawazo mbadala? Kuna mawazo mbadala mengine ambayo hamna namna ya kuweza kuayapata sehemu nyingine yeyote ile nje ya nafsi yako!

hujanielewa nilicholeta jukwaani ni elimu hata kwa wengine wanajifunza kwa haya niliyokutana nayo nao watafanya
 
Soksi haina bei kaka, usimweleze mkeo ila kuwa makini na ushirikina na ukitaka kujua uwe na mbwa kwako au kwa jirani. Wakiwepo wanga tu mbwa watakuwa wanabweka sana usiku. Nilikuwa na hg mshirikina sasa nimejuwa why nilikuwa sidindi kwa mke wangu lakini kwake ilikuwa balaa.

du hii kali mkuu
 
Nyie ndio mnaosachi hata pochi za wake zenu pambaf sana,
kesho nenda ukamchungulie akiwa anaoga halafu uje utueleze hapa.

kwani vibaya kusaji pochi we vipi kama waaminifu hofu ya nini mi naona wewe ndo mjinga sana unatoka nje ya mada kuwa mwaminifu hutakuwa na hofu ya kusachiwa pochi na mmeo au hawala yako
 
Sidhani Kama ni tabia nzuri kwa muelekeo wangu, ukiwa Kama mwanamme lakufanya Kama unawasiwasi nikumshrikisha mkeo kua unawasiwasi na maid tena itoke Kama bahati mbaya kua una hisia mbaya,sio wewe baba mzima utoke huko uwache kazizako uanze kupekuaa chumbani cha maid tabia gani Hiyo? Sasa uloyakuta yamekuridhi? Wacha iyo tabia sio nzuri kwa mwanamme na sionsifaa zakiume.....

Wewe ndiye unaonda siyo vizuri, it seems hayajakukuta au hujafuatilia vyema maswahibu ya wasichana wa kazi!! Kwanza usalama wa nyumba ni jukumu la baba, hilo alipingiki hivyo ni sahihi kabisa kwake kupekua popote pale kwenye nyumba yake. Nakupa mkasa wa staff mwenzangu, alivizia hivyo hivyo akapekua chumba cha hg akakuta kuna simu ambapo wao hawakumnunulia simu na haikujulikana kama ana simu before. Kumbe simu alinunuliwa na watu (hawajulikani) na sms zilizokuwemo zilionesha kuwa alikuwa na mawasiliano na mtu ambapo huyo mtu alikuwa anamshawishi ili siku chache mbele yake atoroke wakati wao wakiwa (wazazi) kazini. Mbaya zaidi ilitakiwa aondoke na baadhi ya vitu vya humo ndani ili kwenda kuanzia maisha huko watakakokwenda na huyo mtu pia alikuwa anamshawishi huyu hg awe anapekuwa chumbani kwa wazazi ili apate panapohifadhiwa fedha ili aziibe pia.

Upande wa pili huyo aliyekuwa anamshawishi huyu binti kumbe nae alikuwa ni kijana wa kazi wa mtaa wa pili na nae pia alikuwa na malengo ya kuiba vitu kutoka kwa bosi wake. Hivyo udadisi wa jamaa ulisaidia kuokoa mali zao na huwezijua mtoto angemuacha wapi na vipi? Na pia alipomjua huyo kijana wa upande wa pili alisaidia kuokoa mali ambazo hawa vijana walikuwa wanashawishiana kuziiba ili wakaanzie maisha huko ambako wangeenda!!

Mimi mwenyewe, niko makini sana na hilo si kwa wakike tu hata wa kiume pia!! Kuishi na mtu msiyemjua then mnajisahau kama upo na mzazi wako?? Acha hizo ban
 
asante kwa ushuhuda mzuri
 
Ukimwambia waifu tu! Huyo kazi hana, na badala ya usafi mtaelekea kwa MZEE WA UPAKO!!!!!
 
Muwe mnamnunulia pedi halafu acha unoko

ped sh 1500 hela ya matumiz mbali mshahara anapewa mpaka simu enunuliwa vocha tunampa ingawaje hazimtoshi ananunua labda nimshauri wife awe anamfundisha
 
Back
Top Bottom