Nilichokikuta baada ya kupekua chumbani kwa dada wa kazi

mke wangu hana ishu tunaminiana tupo rum moja changu chake hata simu zetu hatufichi akijisikia kupekua namna yani full kuaminiana hadi raha

kama mnaaminiana na mkeo, kwanini unakuwa na wasiwasi khs kumwambia ukweli?
mi sioni tatizo kwa ulichokifanya, watu wanaokaa nyumbani kwako wapo chini ya imaya yako na mkeo, hawatakiwi kuwa huru kwa kiasi kikubwa. mi huwa nawaambia, full uhuru ni siku wakiwa majumbani kwao, sio kwangu.

hawa wadada wanakuwaga na mambo mengi, wengine washirikina, wengine wachafu sana msipoangalia mtalishwa mpaka mavi. mwambie wife awe anamnunulia pedi ili kuepukana na hiyo kero ya matambaa, maana pedi si bei kubwa
 
Haujaenda jandoni wewe..kwani moja ya mafundisho na makatazo ni hayo uliyoyafanya ....kwa mwanaume kama wewe hiyo ni aibu na wala hukupaswa kuileta hapa..pia wala haipaswi kumuuliza huyo dada wale mkeo watakushangaa.
 
Inaonekana we ni mwenyeji sana hicho chumba.

Sanaaaa...mpk anajiamini kupekua..huyu c bure ukute anammendea hausigel na alienda tu kuchunguza km atakuta vibarua vya mapenzi au kucheki vyupi ...mm angekua mume wangu moto ungewaka
 
Hujakosea kabisa kaka. Kwa jinsi mahsgrl wa cku hizi hawaaminiki kabisa. Na kuhusu swala la matambara ndo zao inabidi ur wife awe anakagua room mara kwa mara. Usijute lichokifanya kabisa. Now chukua hatua ya kumweleza mkeo mapema! Ukiendelea na hii filamu peke yako mambo kati yenu yataharibika na itakuwa too late kurekebisha

asante namwambia cozi nijukumu lake kumpekue na kumshauri usafi alafu nataka afuatilie kwa nini soksi zangu kaziweka chini ya kinda chake hv angezikuta mke wangu angefokiriaje yani mi nawaogopa sana coz ni watu rahis kutumika kwa lolote nyumbani namda mwingi tuko makazini mengi hatujui
 
kama mnaaminiana na mkeo, kwanini unakuwa na wasiwasi khs kumwambia ukweli?
mi sioni tatizo kwa ulichokifanya, watu wanaokaa nyumbani kwako wapo chini ya imaya yako na mkeo, hawatakiwi kuwa huru kwa kiasi kikubwa. mi huwa nawaambia, full uhuru ni siku wakiwa majumbani kwao, sio kwangu.

hawa wadada wanakuwaga na mambo mengi, wengine washirikina, wengine wachafu sana msipoangalia mtalishwa mpaka mavi. mwambie wife awe anamnunulia pedi ili kuepukana na hiyo kero ya matambaa, maana pedi si bei kubwa

kweli ngoja nimwambie mama watoto wakati nakagua nimeziona pedi anazo sijui mazoea
 
Inawezekana alikuwa anataka apeleke kijijini kwako kwajili ndugu zake wavae
 
Dah
Mkeo hampelelezi hg wake?
Mmmmh

wife anamwamini sana coz wanatoka wote mkoa moja na kijiji kimoja alafu anafanya sana kazi na mtoto anamtunza vizuri anaenda kanisani sana wife hana wasiwasi anaona yuko safi
 
Haujaenda jandoni wewe..kwani moja ya mafundisho na makatazo ni hayo uliyoyafanya ....kwa mwanaume kama wewe hiyo ni aibu na wala hukupaswa kuileta hapa..pia wala haipaswi kumuuliza huyo dada wale mkeo watakushangaa.

hayakukumba ndugu yangu subiri utazikumbuka hizi story siku moja c tunajadili maisha na ma house girl we unaleta habari za jandoni haya bana
 
Sanaaaa...mpk anajiamini kupekua..huyu c bure ukute anammendea hausigel na alienda tu kuchunguza km atakuta vibarua vya mapenzi au kucheki vyupi ...mm angekua mume wangu moto ungewaka

we ni -------- sana unawaza uzinzi tu c tunajadili ya msingi da chupi ya msichana wa kazi !!! narudia tena wewe ni -------- sana soma michango ya kujenga na kujifunza kwa wenzio maisha sio sex tu kama unavyozani ni zaidi ya hayo
 
Huyo mdada ndio anapika chakula kitamu Hapo home.....kwa uchafu huo Jiulize chakula kinakuwa salama??? Ukute hata pedi anavaa siku tatu,akinya hatawazi,akikata kachumbari hanawi mikono,akichuja nazi hanawi mikono.....tafuta Njia ya kushawishi mkeo mpekuwe wote....jifanye hujawahi kupekuwa ili my wife wako nae ajionee
 
ni vizuri kufanya utafiti mdogo mdogo kama huu wakati mwingine!

ila sijui ungejisikiaje pale ambapo ungekuta picha yako imefungwa kwenye kitambaa chekundu,

huku imenyunyiziwa unga mweupe halafu imeandikwa maandishi ya mashariki ya mbali,

halafu wewe kila leo unagombana na mkeo kwa mambo yasiyokuwa na maana!

hizo ndizo faida za kufanya utafiti!
 
Last edited by a moderator:
Aisee umenifunfisha. Sasa mimi nitatia timu kwa houseboy na wife kwa dada. Nitapata kitu. Hawa jamaa wakiaga kwenda kwao ukija kupekua vitu vibatoweka kimazingira. Hata chupi na handcarchief wanaiba, vyombo, na vingine. Watchout guys.
 
Ngoja ukakute chupi za mkeo sijui utasemaje.
 
Inategemea wewe na mkeo mnaishi vipi...ningekuwa mkeo nisingeona hajabu wewe kufanya upekuzi...umeonyesha unajali

Lakini kama mnaishi kwa kukisiana na kushukiana hapo itakuwa ngumu. Maana kusema eti umwambie bila mkeo kujua kwangu hiyo ni mbaya kuliko....

Msichana wa kazi bosi wake mkeo....wewe mripoti kwa bosi bana...
 
Ngoja ukakute chupi za mkeo sijui utasemaje.

Nikizikuta ndipo nitajua cha kufanya. Kuna house boy mmoja alimwibia wife vitenge na alikiri alitaka ampekee mama yake. Hivyo hata chupi anaweza iba apelekee msichana wake. Cha msingi house intellligency is very important
 
Back
Top Bottom