Nikumbusheni Cartoon hii iliyokuwa inaoneshwa ITV miaka ya 2000

Dah Miaka bado tupo na taa ya chemli nayo chemli huifuta mama peke yake na baba , koroboi ya kumulikia na kusomea, jiko la stove , picha zenye nega, chandimu kipo 🔥, sh 50 vicholi 10, kunyoa ni mkasi nk.........Tv niionee wapi Mimi....? 🙌
 
Mwenye kujua katuni flani hivi ilikuwa ikioneshwa ITV wanaingia kwenye kitu kama Elevator hivi afu wanaenda kupigana na wadudu mbalimbali pamoja na monsters mbalimbali.

Nkumbushe jina ya hii Cartoon please.
Kuna ile movie inaitwa star wars sijui ina resistance army nahisi yaweza kuwa hiyo maana ilioneshwa sana ITV kuna jamaa ana macho matatu.
 
Umeshindwa kuwa specific. Hebu weka hata picha au elezea zaidi kwa kina tujue tunakusapoti vipi.
 
Mwenye kujua katuni flani hivi ilikuwa ikioneshwa ITV wanaingia kwenye kitu kama Elevator hivi afu wanaenda kupigana na wadudu mbalimbali pamoja na monsters mbalimbali.

Nkumbushe jina ya hii Cartoon please.
Sun Wukong Monkey

Aii baajie
 
Mwenye kujua katuni flani hivi ilikuwa ikioneshwa ITV wanaingia kwenye kitu kama Elevator hivi afu wanaenda kupigana na wadudu mbalimbali pamoja na monsters mbalimbali.

Nkumbushe jina ya hii Cartoon please.
Super Marioo kama sio Super Angelo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom