Niko njia panda

MWAMBIE HAWARA akuoe UPANDE CHEO kwani tatizo nini?maana ingekuwa rahisi badala ya kuomba ushauri,ungekuwa na uhakika kwamba atakuoa awe wako kabisa amwache mkewe maana wewe ni zaidi ya mkewe....kwani huyo MUME WA MTU amekwambiaje ndoa ni lini??
 
Jamani ni mkristo ila swala si ndoa bali mapenzi, na huwezi uchagulia moyo yupi wa kumpenda
hapo mie ndo nasemaga kila siku humu, kuna wakati hutakiwi kuufuata moyo..,hapo akili ndo inabidi kutumika. huo moyo unaoufuata utauponza mwili na wote mtaenda kuzimu.. Unachukua mume wa mtu alaf unasema 'eti kumuacha haiwezekani' nyambaf
 
Habari zenu. Ni mwaka wa tatu sasa niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.nilikutana naye nikiwa nafanya dissertation kukamilisha mwaka wangu wa nne wa masomo chuoni, yeye alikuwa anamalizia masters yake, hivyo nilikuwa natumia muda mwingi library pale chuoni na yeye alikuwa anafika library kujisomea so katika harakati hizo ndipo tulipokutana na kufahamiana. Alinieleza ukweli kuhusu kuwa na mke na watoto na akaniomba tuwe wapenzi. Nami nilimweleza kuhusu kuwa na mpenzi aliye nje ya nchi kikazi. Sikumkubalia ombi lake nilimtaka tuwe marafiki tu,alikubali ila akanambia yuko tayari kunisubiri hadi hapo nitakapokuwa tayari kuwa mpenzi wake.tulispend some quality time pamoja kama friends hadi tulipograduate yeye akarudi kazini kwake nami nikapata ajira mapema kwa sapoti yake. Mwaka jana mwezi wa pili ndipo tulipo make love for the first time na tukawa wapenzi oficialy na ananipenda na kuniridhisha. Kadri muda ulivyokwenda nilijikuta nafall deeply in love na huyu mume wa mtu. Inshort nimepoteza mapenzi na boy wangu wa awali na nashindwa kumweleza ukweli nikihofia kumuumiza. Wandugu naombeni ushauri niko njiapanda.nimweleze ukweli mpenzi wangu ama nipotezee? NB:Kumwacha huyu mume wa mtu kwasasa haiwezekani.
Una enjoy sana eeeeh? Subiri utakapoolewa na ww ndipo mumeo atakapomegwa utakavyojisikia ndo anavyojisikia mwenye mume=mwosha huoshwa pia
 
bora dada yaqngu umempa ukweli huyo malaya maana ni mpuuzin na limbukeni ambaye elimu yake haijamsadia, we utaanzishaje mapenzi na mme wa mtu na kungangania kutomuacha badala ya kutafuta wako uwe na familia yako
 
[/B]Umenisikitisha sana kwamba kumuacha mme wa mtu haiwezekani kwani ni mmeo huyo? tena unasema ndipo mlipoanza uhusiano officially nani kakudanganya kuna official kwa mme wa mtu? shehe/padri/mchungaji aliwahalalishia? sijaona mwanamke KING`ANG`ANIZI kama wewe.Endelea lazima itakutokea puani siku Mungu atakapokulipa uovu huo juu ya kichwa chako mchana kweupe.

Unaharibu familia ya wengine unakuja kutafuta ushauri ole wako we dada nakuonya kabla mwaka huu haujaisha nayo kuambia ukiendelea lazima yakutokee ili iwe fundisho kwa watu wenye roho ya zinaa kama yako.Badala ya kuendelea na huyo asiye na mke unajiona shujaa kupora waume wa wenzio kisa MD? unajua alikotoka na mkewe nawe unakuja jipitisha.
NAKUHAKIKISHIA MALIPO UTAYAPATA SI MUDA MREFU.

Mbona unamtisha mwenzio as if you are God???? Kama wewe ni mhubiri Injili mwambie Neno la Mungu na sio vitisho!
 
Ungejiheshimu ungebeba wame za watu acha kukoromea watu wanakuambia ukweli zinduka we mwana dada.Nashindwa kuelewa lipi linakufanya ung'ang'anie mume wa mtu jamani?Jiamini hata kama una sura kama mama Anna Mkapa una stahili kupata chako cha peke yako dia.

Unashindwa kuelewa lipi linamfanya ang'ang'anie mume wa mtu!!! GREAT SEX & SWEET POCKET!
 
[/B]Umenisikitisha sana kwamba kumuacha mme wa mtu haiwezekani kwani ni mmeo huyo? tena unasema ndipo mlipoanza uhusiano officially nani kakudanganya kuna official kwa mme wa mtu? shehe/padri/mchungaji aliwahalalishia? sijaona mwanamke KING`ANG`ANIZI kama wewe.Endelea lazima itakutokea puani siku Mungu atakapokulipa uovu huo juu ya kichwa chako mchana kweupe.

Unaharibu familia ya wengine unakuja kutafuta ushauri ole wako we dada nakuonya kabla mwaka huu haujaisha nayo kuambia ukiendelea lazima yakutokee ili iwe fundisho kwa watu wenye roho ya zinaa kama yako.Badala ya kuendelea na huyo asiye na mke unajiona shujaa kupora waume wa wenzio kisa MD? unajua alikotoka na mkewe nawe unakuja jipitisha.
NAKUHAKIKISHIA MALIPO UTAYAPATA SI MUDA MREFU.
MAlipo yake atayapata lini?wakati wa kujifungua?
 
ninavokutazama moyoni unataman aachane na mkewe uolewe ! mapenzi yanakasumba ya kufisha utashi na nafs ya utambuz na hivo kwa sababu anakuridhisha unaona ndo chaguo lako napenda kuvunja mipaka yako na kutoheshm hca zako kukwambia kwamba aina hii ya mahusiano ni utumwa kwako kwan unatakiwa kufanya mambo kwa usahih kadr apendavo huyo bwana ili kumudu kuwa nae kitu ambacho kitakufanya kuwa mtumwa ukihofia kuachwa, lakn nakuhakikishia kuachana na mtu ni sekunde tu na kwa sababu ndogo hata icokuwa ya mcng so weigh kama uko tayar kupoteza mda na kuumizwa kama ww unavoelekea kuumiza mtu wako wa awal fine hasara nyingne pia utajisikiaje kumkosa huyo mwenzi mpya mara kibao kisa kapeleka huduma kunako familia nawe kukilalia peke yako kitanda ungal kichwani ukijua kuna mtu anapewa raha kipindi hicho cha huzun kwako? kabla hujamwambia mpenz wako subr kaa tafakar na amua kwa gharama zozote ili ukabiriane nazo
 
Mbona unamtisha mwenzio as if you are God???? Kama wewe ni mhubiri Injili mwambie Neno la Mungu na sio vitisho!

Nafikiri hujasoma vema neno.....neno linasema Mungu akikuambia kumuonya mtu juu ya uovu wake nawe usimuonye mtu huyo akafa katika uovu wake,damu yake Mungu ataitaka mikononi mwako ila ukimuonya damu yake itakuwa juu ya kichwa chake...kazi ya kuonya ni ya wanadamu kazi ya kuhukumu ni ya Mungu,au unataka kusikia neno unalotaka usikikie mwenyewe.......mimi nimeshafanya kazi yangu hilo tu.
 
Habari zenu. Ni mwaka wa tatu sasa niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.nilikutana naye nikiwa nafanya dissertation kukamilisha mwaka wangu wa nne wa masomo chuoni, yeye alikuwa anamalizia masters yake, hivyo nilikuwa natumia muda mwingi library pale chuoni na yeye alikuwa anafika library kujisomea so katika harakati hizo ndipo tulipokutana na kufahamiana. Alinieleza ukweli kuhusu kuwa na mke na watoto na akaniomba tuwe wapenzi. Nami nilimweleza kuhusu kuwa na mpenzi aliye nje ya nchi kikazi. Sikumkubalia ombi lake nilimtaka tuwe marafiki tu,alikubali ila akanambia yuko tayari kunisubiri hadi hapo nitakapokuwa tayari kuwa mpenzi wake.tulispend some quality time pamoja kama friends hadi tulipograduate yeye akarudi kazini kwake nami nikapata ajira mapema kwa sapoti yake. Mwaka jana mwezi wa pili ndipo tulipo make love for the first time na tukawa wapenzi oficialy na ananipenda na kuniridhisha. Kadri muda ulivyokwenda nilijikuta nafall deeply in love na huyu mume wa mtu. Inshort nimepoteza mapenzi na boy wangu wa awali na nashindwa kumweleza ukweli nikihofia kumuumiza. Wandugu naombeni ushauri niko njiapanda.nimweleze ukweli mpenzi wangu ama nipotezee? NB:Kumwacha huyu mume wa mtu kwasasa haiwezekani.
Kumwacha mume wa mtu hutaki sasa unahitaji ushauri gani tena? Haya nenda kamweleze mke mwenza kwamba umemchukulia mume
 
Cheka leo kesho utalia. Hujui unachoitaji kaika maisha yako na nina wasiwasi na elimu yako ama ndo vyuo vya barabarani huwezi kupambanua hata mambo ya maisha yako... kila la heri..
 
habari zenu. Ni mwaka wa tatu sasa niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.nilikutana naye nikiwa nafanya dissertation kukamilisha mwaka wangu wa nne wa masomo chuoni, yeye alikuwa anamalizia masters yake, hivyo nilikuwa natumia muda mwingi library pale chuoni na yeye alikuwa anafika library kujisomea so katika harakati hizo ndipo tulipokutana na kufahamiana. Alinieleza ukweli kuhusu kuwa na mke na watoto na akaniomba tuwe wapenzi. Nami nilimweleza kuhusu kuwa na mpenzi aliye nje ya nchi kikazi. Sikumkubalia ombi lake nilimtaka tuwe marafiki tu,alikubali ila akanambia yuko tayari kunisubiri hadi hapo nitakapokuwa tayari kuwa mpenzi wake.tulispend some quality time pamoja kama friends hadi tulipograduate yeye akarudi kazini kwake nami nikapata ajira mapema kwa sapoti yake. Mwaka jana mwezi wa pili ndipo tulipo make love for the first time na tukawa wapenzi oficialy na ananipenda na kuniridhisha. Kadri muda ulivyokwenda nilijikuta nafall deeply in love na huyu mume wa mtu. Inshort nimepoteza mapenzi na boy wangu wa awali na nashindwa kumweleza ukweli nikihofia kumuumiza. Wandugu naombeni ushauri niko njiapanda.nimweleze ukweli mpenzi wangu ama nipotezee? Nb:kumwacha huyu mume wa mtu kwasasa haiwezekani.

dunia kweli ina mambo...
 
unaomba ushauri wakati sentensi ya mwisho imetupa msimamo wako? tukushauri kazi bure?
 
ni bora uwe fukara kuliko kukosa akili wewe mwanamke ni kati ya wanawake wajinga ndani ya jamii
 
pumbavu ww ndo wale wezi wawaume wawatu huez mwacha wako uyoo?
unastail azab ya kitanzi.
 
,huyo mume wa mtu akitosheka hutamuona atarudi kwa mkewe utaisoma number....wewe endelea for time being ukiukwaa utalia na ndugu zako sio na jf members....mxiuuu
 
Back
Top Bottom