Niko na date na DMussa mwasemaje..mashemeji na mawifi ahahahhaa

Shishi

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
1,242
39
Mmmmmmmmmmmmmmmmm... date leo na DMussa, venue NBI city...kwi kwi kwi kwi...harusi hapa hapa JF!!!!!;)
 
watu pipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..............
Shishi venue ni wapi tena vile!!
 
Savanna coffee lounge....karibu na Barclays Plaza cant remember the street name!
 
Upuuzi mtupu kwa nini usinge pm.

we nawe mbona am smelling ka-wivu?? Tusha PMiana tukaset date ndio nawaarifu wenzangu JF. ama wataka photographic evidence??? this is my contribution to strengthening the EAC LOL:p
 
hakya nani dunia imefikia mwisho ninyi wote si midume nyie?sasa mnadetiana tena hadharani?
 
ahahahahhahaha duh!!!!!!

Yaani ndugu badala ya kurudi kwa muumba na kutubu unacheka? unadhani hiyo ni tabia nzuri?Tafadhari wachungaji na mshekhe humu JF waombeeni hawa wenzetu walipofikia ni pabaya.
 
Yaani ndugu badala ya kurudi kwa muumba na kutubu unacheka? unadhani hiyo ni tabia nzuri?Tafadhari wachungaji na mshekhe humu JF waombeeni hawa wenzetu walipofikia ni pabaya.

jamani utaambiwa ni nani mie ni dadako????? ai i give up!
 
hakya nani dunia imefikia mwisho ninyi wote si midume nyie?sasa mnadetiana tena hadharani?

Karibuni mfunge ndoa kanisa la Anglika, watumbuizaji ni Elton J na baadhi ya wasanii wa kibongo
 
Mchango wangu wa hiyo date ni boksi nzima ya zana.kekekeke.dr.musa hoyeeeeeeee!harusi 2nayoo ha2naa??
 
Back
Top Bottom