Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

Watu wenye akili finyu bwana; Atheist haamini supernatural aina yoyote sio Mungu wenu au Miungu au Malaika au Shetani Sasa cjui mnavokazana na uyo shetani mnamtoa wap🥲🥲🥲 mwenye akili ameelewa nyie wenye akili za mavi na Miungu yenu ambayo haiwasaidii chochote ndo fyokofyoko never ending.
 
Kwamba atheists ndio wana akili pekee? hawa wa bongo hamna kitu hata ugunduzi hawajawahi kufanya ,yaani kujua kingereza kidogo wanajikuta wameelimika eti hakuna Mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom